ha ha ha,waarabu koko tuko wengi kweli uende mbarali hukosi mwarabu,mpanda,kilosa,taveta,kirinyaga etc,Naona "waarabu" koko mmejipanga kweli kweli kwenye huu uzi. Poleni.
Nina mashaka na ubongo wako.... unasemaje kwamba israel ndo baraka.... baraka ni MUNGU na aliyekuzaa .... acha boya.Mbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.
Mkuu heshima! Sio Yakobo tu, hata Suleiman alioa masuria 800; hebu shangaa zaidi hapo. Vyovyote iwavyo, ni Ishmaeli anayetajwa WAZI WAZI kama "mwana wa mjakazi" aka zinaa. Kwanini? Hilo ni somo jengine pana sana kujadiliwa hapa.kwa mtizamo wako kumbe hata watoto baadhi wa jacob pia ni watoto wa zinaa juu alizaa na mahausegali wake wawili na hao watoto ni miongoni mwa wale 12 waliounda makabila 12 ya israel,kwanini then waliqualify kuwa wana wa israel kama ni wa zinaa? ....
Mbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.
Duh, ndugu usiandike tu ili kufurahisha nafsi. Wana wa Israel ndio watoto wa Mungu utake usitake. Na kwa sisi tunaojua unapomuomba Mungu ili aweze kusikia haraka moja ya maombi yako umtaje kuwa Mungu wa Israel, Mungu wa Isaka, Mungu wa Iblahimu, Mungu wa Yakobo na mengine mengi Mkuu. Atakae ichukia Israel na Mungu atamchukia pia. Suala la Mashariki ya kati liliongelewa kwenye biblia, hao wapelestina ni wana wa Ismail ambao katu hawatakuja kupatana na wana wa Isaka ambao ni Israel(Yakobo). Taratibu mkuu, hujui maana tutakujuza. Ukiende kwenye baraka, yeyote atajae wabariki waisrael nae atabarikiwa Duniani na Mbinguni.Mh.....hizo baraka wazipate kwanza wenyewe wawe na amani huko kwao, waelewane na hao wapalestina....Baraka itafute kwa Mungu wako tu aiseee sio kwa wayahudi.......lkn pia huhatoa ushaidi kuonesha ni jinso gani hao jamaa wanachukia weusi...ili tuamini unachokisema
Acha kupotosha, hakuna mtoto wa Yakobo kati ya wale 12 waliokuwa wana wa house girls. Leah na Rahel ndio waliomzalia Jacob wana 12 ambao kwa sasa ndio kabila za Israelkwa mtizamo wako kumbe hata watoto baadhi wa jacob pia ni watoto wa zinaa juu alizaa na mahausegali wake wawili na hao watoto ni miongoni mwa wale 12 waliounda makabila 12 ya israel,kwanini then waliqualify kuwa wana wa israel kama ni wa zinaa?.
Huoni kuwa unajichanganya mwenyewe hapo?,
as for baraka alizopewa abraham zilihusu uzao wake wote na wala haikuhusu watoto wa yakobo ambao hata hivyo kipindi hicho hata yakobo alikuwa bado hajazaliwa,
jambo jingine uelewe kuwa isaack hakuwa mwisrael wala myahudi,uwage unasoma na kuelewa mkuu
Umeongea ujinga usioujua, hakuna muisrael feki ndugu yangu. Kwa taarifa yako, huyu waziri mkuu wa sasa Benyamini Netanyahu, kaka yake ni yule aliendesha operation ya Entebe 45mn. Alikuwa anaitwa John Netanyahu Generally. Tena nikuongezee kidogo ni wajukuu wa mtoto wa mwisho wa Yakobo aliitwa Benjamini, ambaye alizaliwa baada ya kaka yake aliekuwa ndie mtoto wa mwisho wa Yakobo alieitwa Yusuph ambae aliuzwa utumwani Misri. Baada ya vita ya kwanza ya dunia na mpango wa Hitra kuwaangamiza Wayahudi, ndio wakatawanyika na kufika mpaka Ethiopia, Somali na Sudan kwa upande wa Africa. Ulaya ndio walienda kwingi sana. Baada ya vita ya pili 1945 taifa la Israel ndio likaundwa na kupata uhuru. Na adhima ya kwanza ni kuwafanya wote warudi nyumbani, kwa bahati mbaya Urusi ndio ikawa ya kwanza kupinga huo mpango. Sitaki niende mbali, ili nakuambia ukiniletea wazungu elfu 1 ndani yao wawe Wayahudi 3 nitakutolea bila kubahatisha, nakuambia tena walioko Israel wote Wayunani au Wayahudi au Wagalatia, Waefeso, Waebrania, na wengine hawazidi kabila 11.Kwani mkuu wale walioko pale Israel ndio waisrael wa zamani?
Wale ni waisrael fake original huenda ni 1.9%
Wale watu walio kaa pale israel ni watu wa Mataifa tu hakuna jipya pale.
Kwani hujui kwamba Sarah alimuambia mume wake azae na kijakazi ili asife bila kupata mtoto. Dini sio siasa, mshazoea siasa basi kila penye blue manasema light blue. Dini yes ni yes na No No!!Ina maana mtume ibrahimu alizini
Ina maana isaka na ndugu yake Ishmael wana ugomvi sababu ya urithi
Ase ndugu kama kweli mafundisho yenu yanasema hivyo bora uachane au bora uwe Atheist tu
Halafu mitume hawarithiwi Mali ,mtume akifa Mali yake inakuwa property ya jamii hutolewa sadaka
Ndugu bora uwe Atheist kuliko kufuata mafundisho potofu
Hao unaowaita israel leo sio waisrael,wale ni wazungu wanaofata tamaduni za kiyahudi.waisrael wa kweli ni weusi.Utataka ushahidi najua,soma Ufunuo uone Yohana anavyoelezea mwonekano wa Yesu ndio utajua kua hakuna mzungu mwenye sifa alizozitaja.Duh, ndugu usiandike tu ili kufurahisha nafsi. Wana wa Israel ndio watoto wa Mungu utake usitake. Na kwa sisi tunaojua unapomuomba Mungu ili aweze kusikia haraka moja ya maombi yako umtaje kuwa Mungu wa Israel, Mungu wa Isaka, Mungu wa Iblahimu, Mungu wa Yakobo na mengine mengi Mkuu. Atakae ichukia Israel na Mungu atamchukia pia. Suala la Mashariki ya kati liliongelewa kwenye biblia, hao wapelestina ni wana wa Ismail ambao katu hawatakuja kupatana na wana wa Isaka ambao ni Israel(Yakobo). Taratibu mkuu, hujui maana tutakujuza. Ukiende kwenye baraka, yeyote atajae wabariki waisrael nae atabarikiwa Duniani na Mbinguni.
Kawaongopea watoto wenzako, hata kwenye biblia hakuna weusi. Ila kwa laana aliyopewa mtoto w Nuhu alipomchungulia baba yake. Ndio akasema utazaa watoto weusi, sisi nizao la laana. Mwenzako nimekwenda mpaka bethisaida ng'ambo ya mto Yoldani. Wewe kama unaniletea hadithi pole yako. Na nimekutana na watu waliozaliwa 1860, acha uongo wewe sikuona hata muisrael mweusi kama walivyo wahindi na waarabu. Tena uache!!Hao unaowaita israel leo sio waisrael,wale ni wazungu wanaofata tamaduni za kiyahudi.waisrael wa kweli ni weusi.Utataka ushahidi najua,soma Ufunuo uone Yohana anavyoelezea mwonekano wa Yesu ndio utajua kua hakuna mzungu mwenye sifa alizozitaja.
Umeongea ujinga usioujua, hakuna muisrael feki ndugu yangu. Kwa taarifa yako, huyu waziri mkuu wa sasa Benyamini Netanyahu, kaka yake ni yule aliendesha operation ya Entebe 45mn. Alikuwa anaitwa John Netanyahu Generally. Tena nikuongezee kidogo ni wajukuu wa mtoto wa mwisho wa Yakobo aliitwa Benjamini, ambaye alizaliwa baada ya kaka yake aliekuwa ndie mtoto wa mwisho wa Yakobo alieitwa Yusuph ambae aliuzwa utumwani Misri. Baada ya vita ya kwanza ya dunia na mpango wa Hitra kuwaangamiza Wayahudi, ndio wakatawanyika na kufika mpaka Ethiopia, Somali na Sudan kwa upande wa Africa. Ulaya ndio walienda kwingi sana. Baada ya vita ya pili 1945 taifa la Israel ndio likaundwa na kupata uhuru. Na adhima ya kwanza ni kuwafanya wote warudi nyumbani, kwa bahati mbaya Urusi ndio ikawa ya kwanza kupinga huo mpango. Sitaki niende mbali, ili nakuambia ukiniletea wazungu elfu 1 ndani yao wawe Wayahudi 3 nitakutolea bila kubahatisha, nakuambia tena walioko Israel wote Wayunani au Wayahudi au Wagalatia, Waefeso, Waebrania, na wengine hawazidi kabila 11.
Soda ni kinywaji hatari sana kwa afya mkuu,ungepata mwendokasi aka kaya masikini aka Tasaf ya baridi iko safe.Ngoja waje
Ngoja niagize coka barid
Close minded,na yule mke Musa aliyeoa mpaka ndugu zake wakaanza kumsimanga alikua rangi gani tena?Kizazi cha baba yako mababu zako ndio chenye laana sio hiki changu.Kawaongopea watoto wenzako, hata kwenye biblia hakuna weusi. Ila kwa laana aliyopewa mtoto w Nuhu alipomchungulia baba yake. Ndio akasema utazaa watoto weusi, sisi nizao la laana. Mwenzako nimekwenda mpaka bethisaida ng'ambo ya mto Yoldani. Wewe kama unaniletea hadithi pole yako. Na nimekutana na watu waliozaliwa 1860, acha uongo wewe sikuona hata muisrael mweusi kama walivyo wahindi na waarabu. Tena uache!!
haueleweki, waisrael wamekufanya nini wewe kama mtu mweusi?....ungeniuliza waarabu waliwakosea nini waisrael kwasababu israel kila ikitaka inawapiga makonzi ipendavyo...hapo ningekuelewa. wa kulalamika anayeonewa zaidi hapa ni mtu mweusi au mwisrael? funguka manake inaonekana kama wewe ni ISIS unatafuta pa kutokea, au utatafuta recruits.Mbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.
Arabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?