Watu weusi waliwakosea nini Waisrael

Mkuu heshima! Sio Yakobo tu, hata Suleiman alioa masuria 800; hebu shangaa zaidi hapo. Vyovyote iwavyo, ni Ishmaeli anayetajwa WAZI WAZI kama "mwana wa mjakazi" aka zinaa. Kwanini? Hilo ni somo jengine pana sana kujadiliwa hapa.
mkuu mjakazi maana yake sio zinaa.
Mjakazi ni housegirl.

Yakobo nae alizaa na mahausegal wake,kwa tafsiri ya leo yakobo alifanya zinaa na mahousegal,na hii ilimshushia heshima na kama utakumbuka mmoja wa watoto wa yakobo aitwae Reuben alikuja akatembea na mmoja wa hao housegali,yaani mmamake mdogo,jambo lililomuudhi sana jacobo na kama sikosei alimfukuza Reuben toka nyumbani kwake
 
Yaani unaonyesha ujinga wako waziwazi.Umekaririshwa tu hufikirii kwa akili yako.

Eti mjukuu wa benyamin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Hakuna mtu yey0te alie Israel mwenye undugu na bible character.Hakuna.
 

Ukichukiwa na Wa-Israel, Wamarekani, Waingereza, Warusi ama Wahabeshi kwa sababu ya rangi nyeusi tu heri yako kwa kuwa Mungu amewakubali watu weusi. Ebedmeleki Mkushi (Mwafrika mtu Mweusi), ndiye aliyemwokoa Yeremia shimoni (Yer 38:7-12), Musa alimwoa Sipora Mkushi (Hesabu 12:11). Mkushi ndiye aliyeleta Injili Afrika karne ya kwanza (Mdo 8: 27-39), Simoni Mkirene (Mlibya) aliupokea msalaba wa Yesu hatua fulani (Luka 23:26). Msululu ni mrefu. Baadhi ya mababa wa Kanisa walikuwa wakushi; Cypriano wa Kathago, Tertuliano na Agostino wa Hippo. Ule mkutano mkubwa mbinguni Waafrika watakuwepo (Ufu 7:9).
 
mkuu mjakazi maana yake sio zinaa.
Mjakazi ni housegirl.
Yakobo nae alizaa na mahausegal wake,kwa tafsiri ya leo yakobo alifanya zinaa na mahousegal,na hii ilimshushia heshima ...
Mkuu hebu ifike mahali nyeusi iitwe nyeusi na nyeupe vivyo hivyo! Lakini nilitahadharisha kabla jamani; tukianza kufukua makaburi ya "manabii na mitume" humu tusije onana wabaya au kwamba tunatusi dini za watu; maana kuna "mabomu" mengine ya mitume yakiwekwa hapa "mbingu na ardhi zitatikisika"; tahadhari hiyo.

Ok, labda mimi sijui maana ya neno zinaa! Kwa tafsiri rahisi, nijuavyo mimi, uzinifu au zinaa ni kwa alieoa/olewa kutembea nje ya ndoa. Naomba tukubaliane hapa kwanza au kama tafsiri yangu sio sahihi nifahamishe tafadhali.
 
wanubi a.k.a Cushite empire mwaka 1020 BC walieneza utawala wao mpaka misri na kisha kupush hadi near east,yaani maeneo ya caanan ikiwemo jerusalem,google 25 egypt dynast.
Ni katika kipindi hiki farao akiwa mkush,yaani mweusi ndo inasemwa kikundi cha waisrael kiliondoka misri kurudi caanan,
habari ya moses inasemakana na uzushi,kwani egypt cush empire walikuwa wanacontrol eneo lote mpaka caanan na vikabila vidogo vilivyokuwa huko caanan vilikuwa vikilipa Tribute kwa utawala wa misri wa kipindi hicho,
kwahiyo hata wafalme wa israel kingdom mwanzoni akina Saul,david,solomon walikuwa na machief tu wa maeneo yao under the protection of egypt empire.
Ikafikia kipindi wacush wakataka kuichokonoa asyrian empire ambayo ilikuwa juu ya caanan katika maeneo ya syria na iraq ya leo,
asyrian wakaanzisha vita dhidi yao,kama sikosei kipindi hicho king wa israel alikua ahaz na hatimae hezekia,akavamiwa na waasyria kwasababu alikuwa anashirikiana na cushite egypt empire,
waasyria wakateka miji yote ya israel kasoro jerusalem operation ikasitishwa baada ya askari wa asyria kuuingiliwa na kipindupindu na hezekia akawa kakubali kulipa Tribute kwa wa asyria,
baada ya hapo waasyria wakaendelea na operationdhidi ya wacush na kufanikiwa kuwapiga na kuwaondoa caanan ,egypt wakakimbilia Meroe,sudan ambako waliestablish empire yao huko,
sasa nashindwa kuelewa iweje waisrael wawachukie weusi wakati walikuwa allience moja dhidi ya waasyria kabla hezekia hajasarenda kwa waasyria,na inasemekana hadi king solomon alikuwa ni mkushi
 
zamani hakukuwa na huo ustaarabu wa ndoa kama sasa,tatizo unaforce kutafsi matukio yaliyotokea miaka 3500 iliyopita kwa tafsiri ya leo hii.
Nimesema tukifuata tafsiri yako ina maana yakobo alidhini na kwa tafsiri yako karibu watoto 6 wa yakobo wanakuwa haramu na hawakidhi kuitwa waisrael kwani kwa fasiri yako wametokana na zinaa,
sasa katika watoto 12 wa yakobo ukiondoa hao 6 wa zinaa unabaki na 6 wa halali,
je hapo bado una makabila 12 ya israel?
 
 
Itakuwa!! Na ndiyo maana alikuwa mpenda ngono na mtu wa kujilimbikizia mali(ubinafsi) refer tanzania emperors
 
kuna conspiracy kubwa sana kati ya watu weusi na waisrael(Jews)
waandishi wa bible walikuwa wajanja sana,walificha jina la farao ili watu wasiweze kupinpoint timeline kwani wangeweka jina ingefahamika farao huyo alitawala mwaka fulani na hapo watu wangekamatwa uongo,
sasa wanachofanya watu ni kuhesabu kwa kurudi kinyumenyume,yaani unaanza na ila miaka 40 inayosemwa waisrael walitangatanga jangwani sinai,
unaongeza miaka 40 ya mtawala wao sauli,unaongeza miaka 40 ya mtawala wo daud kisha arobaini ya solomoni na kuendelea mpaka kipindi cha hezekia ambapo ndo waasyria waliingia caanan then unaenda kwenye history,tayari unaestablish Timeline,
mfano tu bible imekwepa kumuongelea Alexandra the great,wakati nae alipiga hodi maeneo hayo,kipindi hicho,kama ukitulia ukaenda taratibu na history ukilinganisha na maandiko utagundua figusi za kutosha
 
Inamana wewe umelaaniwa.
 
Arabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?
Wote tu wana wa zinaa
 





Nyie ni watumwa na mtaendelea kuwa watumwa kwa israelites
 

Ishimael alikuwa mtoto wa kijakazi, mtoto halali Isahaki but enzi hizo watoto wa nje walikuwa na haki sawa na wa halali but not nowadays!
 
Arabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?
Kama unaiamini biblia lete andiko linalosema ishmael ni mwana wa zinaa maana mungu hafichi jambo, vinginevyo ww ndo mwana wa zinaa,
 
Hawa jamaa wanapingana na kitabu chao,
 
Shetani anamjua kwa sababu ni mshkaji wake, alimjaribu mara kibao tu huku wakipiga story za kugeuza mawe yawe mikate, nyie mmekazana shetani toka atoke aende wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…