Watu weusi waliwakosea nini Waisrael


WALIKUFANYA NINI MPAKA UNASEMA KWA UJUMLA TU HUPENDWI FAFANUA
 
NI jamii gani inamahaba na watu weusi unavyodhani wewe?
 

wewe mtoto wa nani?

Guys..mmekuwa too brainwashed
 
Hao unaowaita israel leo sio waisrael,wale ni wazungu wanaofata tamaduni za kiyahudi.waisrael wa kweli ni weusi.Utataka ushahidi najua,soma Ufunuo uone Yohana anavyoelezea mwonekano wa Yesu ndio utajua kua hakuna mzungu mwenye sifa alizozitaja.

Ukitaka kupata comment nyingi humu anzisha thread ya wana wa Israel na waarabu,stupid ,mnatumia muda mwingi sana kuwajadil watu kama nyie kuliko kumjadil mungu .
Ajabu hamtum muda wenu kujiuliza ilikua je watu weusi hamkua na mtume,na ilikuaje mkapokea hiz din ,hiz din zimeletwa na binadam na vitabu vyao walivotafsir tafsir,vipi kama walitudanganya,achen uzembe reflect about your true selves ,katika mitume wote Ambao wanajulikana why God did not consider to bring at least one prophet among us ,so we feel excluded,
Mnakaa mnapoteza muda na story ambazo zina contradicting itself.non sense.
 
Hivyo ndivyo unayoamini wewe. Hakuna Mungu wa Israel. Hakuna hiyo.
 
Waisrael ni watu wa kawaida kma wengine, ikifika kiama basi utalijua hili kwa sasa uwanja ni wako. Dunia hapa si pahala petu hivyo mtadanganywa kila kitu na mtaaminishwa mpk vizazi vijavyo lkn SIKU HIYO KWA MOLA WENU MTAUJUA UKWELI MLIOUPINGA KWA UONGO WA WATU WAPOTOSHAJI.
 
Kwani waisraeli ndo wenye kutoa baraka. Ahadi ya baraka ambayo Mungu alimwapia Ibrahimu ni ya kila mtu. Soma Wagalatia 3:27 na kuendelea hadi mwisho wa hiyo sura.

Mibaraka itakuja kwa kufanya kazi kwa bidii; hainyeshi kama mvua!
Na huu ndo ukweli kuhusu baraka za Mungu, lima shamba kubwa, utavuna baraka za mavuno mengi. Baraka hazipo kispiritual, wengi wakilijua hili, wachungaji watapoteza dili.
 

relax man!Nani amekuambia hakuna nabii mweusi?you are brainwashed just like the rest.
 
Mkuu sijakuelewa nipe elimu,hivi kama babu,baba wa yakobo, (Ibrahim Na lsaka ) walikuwa waarabu kivipi yakobo naye asiwe mwarabu.
 
Mkuu sijakuelewa nipe elimu,hivi kama babu,baba wa yakobo, (Ibrahim Na lsaka ) walikuwa waarabu kivipi yakobo naye asiwe mwarabu.
ha ha ha,logic ni kuwa hata yakobo ni mwarabu,
babake mzee ibrahimu ni mwarabu wa kabila la wakaldayo ,pia mamake Rebeka nae asili yake ni hukohuko asyria,
hawa jamaa wanaongea lugha karibu sawa tu yenye asili ya aramaic,
kama ujuavyo aramain empire ilikuwa ni falme kule syria ya leo,so asili yao ndo huko,
jacobo kupewa nickname yaani israel hakubadirishi DNA ndani ya mwili wake,bado atabaki na Dna zilezile tu za wazazi wake,
ndo maana unakuta hakuna kabila la kiisrael au kiyahudi,

wanaongea kiebrania ambacho asili yake ni kulekule mesopotamia,babel.
Ukienda iraq leo hii utawakuta wakaldayo,na waasyria japo wamebaki wachache lakini wapo na wanahifadhi tamaduni zao.

Kiebrania kinachoongewa leo kule israel si sawa na kile cha zamani,
hiki modern walikihuisha karne ya 18,
ukitaka ujue hizi jamii zinaingiliana jaribu tu kujiuliza how come mtoto wa abraham mkubwa aliitwa toka kuzaliwa IshmaEl,

lakini jacobo yeye akapewa nickname,ukubwani lakini ndo imekuwa bigdeal,

how come mfalme wa syria aramain empire anaitwa Hazael ,wakati hakuwa myahudi,?

It means,hakuna kitu kinaitwa mungu wa israel in reality.

Deity El alikuwa ni mungu wa jamii mbalimbali huko caanan,

hizi story za jacobo kupigana mieleka na mungu ni story za kusadikika
 
Biashara ya kwanza ya utumwa ilikuwa ya hao waisrael ambao walitumikishwa sana afrika kule misri Ethiopia na maeneo mengine afrika ndio maana wanatuchukia sana
 
Kwanini unahisi hawatupendi?nini kinaashiria kuwa wanatuchukia?
 
Hahah..kwa mwendo huu ngoja niendelee kuwa atheist tuu, maana hakuna namna nyingine tena!! huwa napata shida sana kuona watu wanaiabudu nchi nyingine as if wamejitoa ufahamu! simple logic, unafikiri hiyo Israel wao wanatuombea? if not, kwa nini tujipendekeze? why?
 
Well we are all humankind, the only religion we need is oneness: kindness.(fairness, justice, truth, fortitude, courage, love, peace, etc

The purpose of life: To be kind to others, as well as to ourselves, to be helpful among the least among us, the sick, the orphans, less able, mental ill, the poor, elders, neighbours, the less fortunate, if we anything we should try to do everything honest and give our best.

That is true religion, that what is what all the great teachers try to teach. Is simple message but somehow it has become extreme complex and full of dogma.
 
Jamani Ibrahimu ni Kipenzi cha Mwenyezi Mungu, msithubutu kumsema kwa dhihaka au matusi au kwa yale msiyoyajua msije mkaadhibiwa na Mwemyezi Mungu.
Ukisoma Bible, Mungu anasema hata Ishmael amembariki!.
Wewe ni nani kumtukana mtu aliyebarikiwa na Mungu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…