Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Ama kweli chuki ujinga,kwa mdomo mpana kabisa unasema Ibrahim baba wa imani alizini,shikamoo mkristo.Arabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?
Kama ni fake mbona wana common features??Kwani mkuu wale walioko pale Israel ndio waisrael wa zamani?
Wale ni waisrael fake original huenda ni 1.9%
Wale watu walio kaa pale israel ni watu wa Mataifa tu hakuna jipya pale.
BWANA akiwa upande wetu nani aliye juu yetu.Arabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?
Safari larger ndogo.Hahaha...mkuu, hiyo kaya maskini a.k.a tasaf ndo nini?
mkuu mbona kuna waarabu weusi kama sisi!Waarabu Wazungu wote ni racist tuu kwa watu weusi. so KUWAZA ni Israel pekee ni ujinga uliopindukia na ni mjinga pekee anayeweza anayepinga hili
najua na wanabaguliwa pia Issue ubaguzi ni ubaguzi tuu no matter whatmkuu mbona kuna waarabu weusi kama sisi!
Nimeipenda sanaNdugu zangu, tunakakiwa tuache kufuatilia dini za wengine. Christianity and Islam zote zimetokea africa. Hatukuweka jina, lakini ilitokea kwetu. Tunatakiwa tusome historia yetu vizuri. Sisi waafrica are very spiritual people, more than anybody in the world. Lakini tatizo letu atujui historia yetu.
Unaweza ukasikiriza hapa changamoto. Christianity before christ.
critical analysis of Islam
Umenena ukweli. Hawa ni vibaraka wa mwarabu wanaotaka kutuingiza kwenye mtege wa kitoto ili nao tuwashabikie. Akili zao za kitoto sana. Alipoanza kuandika tu nilijui kuwa ni jamaa wale wa kuvaa makanzu ( Vibaraka vyam mwarabu) na propaganda zao.Arabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?
Hatuna kosa lolote tulilowakosea mbweha wale...sisi ni miungu...wamejilaani wenyewe...na mwisho wa laana yao umefika kwa kuyachafua mambo matakatifuMbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.
Sisi tunawabariki wao..soma malaki 4Hatuna kosa lolote tulilowakosea mbweha wale...sisi ni miungu...wamejilaani wenyewe...na mwisho wa laana yao umefika kwa kuyachafua mambo matakatifu
Uongo wa myahudi aliyechakachua maandiko matakatifuNinashangaa kila aliyepost kuhusu huu uzi,uwezo wake wa kufafanua,kulijua na kufahamu neno umetoka kwa Mungu mmoja mwenye uwezo na nguvu zote, kama ndivyo nini kinafanya kuwe na utofauti juu ya ufafanuzi wa uzi huu????
Hauko mbali na kweli... kiyahudi katika linguistics category asili yake Ni Africa....Waisrael wengi wako Afrika na wachache tu ndio wameenea duniani. Hivo walio israel ni watu ambao wana mpango wa kuhadaa dunia kwamba wao ni wayahudi na kumbe sio. Hivo wanawachukia waafrika maana sisi ni ndugu wa damu na wayahudi na tunafanana hadi rangi na wayahudi hivo kutuchukia ni hofu tu kuwa tunaweza kuamua kuwatoa na kuwarudisha wenye nchi na inawezekana wanawatafutaga wayahudi orijino ila tumewaficha ndio maana wanatuchukia ss