Isiwe ni kipindi kile Faiza alikua anafundisha Kiswahili Brazil kwenye chuo cha wanahabariKuna miaka flani nilipiga tempo la mda mfupi pale jangwani huenda nilimuona lakin sikumjua
Pale namkumbuka madam ciara na madam rose wote wa chemistry
Nafikiri wamekujibu kwa kufukunyua hizo threads, ikiwa ni dhahiri pasipo na shaka yakuwa wanatambua madini/nondo za huyu kikongwe zilizokuwa zikiletwa hapa kwenye jamvi...Ni
niheshima kwangu kujibiwa na moderator
Asante
Lov u mom...Tulikuwa busy tunaunda Kikwete Foundation.
We are still super busy.
Acha ujinga niambie kwa ukokotozi wa % ni waalimu wangapi wa tz waliofika USA na Canada achilia mbali kupanda mtumba wa bombadia hiyo ndiyo exposure ambayo walimu 98% hawana ila ffoxy anayoYou must be very stupid. Walimu gani hawana exposure ? Kumbuka hatuongelei walimu wa madrasatul
Ramadhan MubarakRamadhan Kareem.
Karne hii kupanda ndege ndio exposure ? Wanyakyusa wanapanda fast jet kila uchao nao tuseme wana exposure ? Sitii neno..kumbe hata yule twiga wetu aliyetoroshwa kwenye ndege ana exposure ? My lips are sealedAcha ujinga niambie kwa ukokotozi wa % ni waalimu wangapi wa tz waliofika USA na Canada achilia mbali kupanda mtumba wa bombadia hiyo ndiyo exposure ambayo walimu 98% hawana ila ffoxy anayo
Money laundering? Just curious!
Calm down... Time will tell...Is that the best of your imagination? Pity, your best isn't good enough.
Faiza hakuwa Pro CCM Faiza alikuwa Pro Mwinyi na mostly alikuwa Pro JKTatizo LA faiza alikuwa pro ccm sana sasa jiwe linachemka kuendesha nchi faiza anashindwa kuipenda na kuitetea ccm kama alivyokuwa anafanya enzi za jk
Calm down... Time will tell...
[emoji3] [emoji3] I have never failed in my life... That voc doesn't exist in my nerves!You are simply bonkers.
You have failed during his tenure, keep on wasting time.
Mkuu huyo tyta alikua mzee wa mapicha humu jf,sijui alipotelea wapi aisee!Mimi nimebadili ID nilikuwa mtu maarufu pia humu
kuna hawa wadau pia
1. Itifaki
2. Tyta
3.
Huyu amebadili id na sasa anatumia.......remmyta unatafutwa humu JF, kama umebadili ID sema.
Ok, siku hizi ni .......rHuyu amebadili id na sasa anatumia.......r