Watuhumiwa 15 sugu mbaroni kwa tuhuma mbalimbali za kihalifu katika jiji la Dar es Salaam

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mohamed Musa Mohamed aliyetajwa kuwa Mhalifu sugu wa kughushi nyaraka za Serikali na zisizo za Serikali kwa nia ya kujipatia fedha kwa udanganyifu amekamatwa

Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam imesema Mohammed anayefahamika zaidi kama Kibosile amekutwa na Hati za Kusafiria zaidi ya 130, nyaraka za Ofisi mbalimbali, mihuri na kadi za Taasisi za Fedha za kughushi

====

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI

JESHILAPOLISITANZANIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

WATUHUMIWA 15 SUGU MBARONI KWA TUHUMA MBALIMBALI ZA KIHALIFU KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Jeshi la Polisi Kanda Kaalum ya Dar es salaam linawashikilia watuhumiwa wa vitendo vya kihalifu ambao ni kero kwa wananchi wa dar es salaam.

katika oparesheni hiyo kali inayoendelea polisi imewakamata watuhumiwa kama ifuatavyo;

EDSON BONIFACE miaka (24), mkazi wa Kimara

na wenzake 09.

hawa wamekuwa wakitumia pikipiki aina ya boxer kupita mitaani na maeneo yenye miamala ya pesa na kupora kwenye ofisi hizo au kuvizia wanaochukua pesa na kuwafuatilia nyuma hatimaye kuwapora.

katika idadi ya wahalifu hao wengine wamekuwa wakipokea mali za wizi, kuiba vifaa vya ujenzi kwenye miradi mbalimbali, majina yamehifadhiwa kwa sababu za kiupelelezi

watuhumiwa hao walikutwa wakiwa na gari moja aina ya Toyota Canter yenye namba za usajili T.134 DST ikiwa na nondo tani moja.

Watuhumiwa wengine walikamatwa na mali za wizi na simu za mkononi 118 zilizoporwa katikati ya jiji, Kompyuta mpakato (Laptop) 29, kompyuta 02 kwa ajili kufuta kumbukumbu(flash), Tv 13 na vifaa mbalimbali vya magari.

Sambamba na oparesheni hii kali, amekamatwa MOHAMED MUSSA MOHAMED maarufu kama KIBOSILE tapeli sugu ambaye amekuwa akighushi nyaraka mbalimbali bandia za serikali na ambazo si za serikali kwa kutumia mihuri mbalimbali na kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu.Vitendo hivyo vimekuwa vikichafua taswira ya Serikali.

mtuhumiwa huyo amekamatwa na vifaa vifuatavyo;

1.Mihuri mbalimbali 24

2.Vyeti vya kuhitimu sekondari (Secondary Academic Certificates)

3.Vyeti vya masomo ya sekondari

4.Vyeti vya hati za tabia njema za Jeshi la Polisi (Police Clearance Certificate)

5.Vibali vya uraia kwa wageni nchini (Citizenship Certificate)

6.Mihuri ya Taasisi za serikali na binafsi kama wizara ya mambo ya nje, chuo kikuu Dsm, Manispaa ya Ilala, CRDB, NMB, STANBIC BANK, Rita, wanasheria, Maafisa watendaji, Polisi na Idara mbalimbali.

7.Kadi za benki mbalimbali 16

8.Scanner 2 za kughushi nyaraka

9.Hati mbalimbali za kusafiria (Passport) 33 za Jamuhuri ya muungano wa Tanzania na za jumuiya ya afrika mashariki(EAC).

mtuhumiwa huyo anaendelea kuhojiwa kwa kushirikiana na taasisi nyingine atafikishwa mahakamani taratibu zitakapokamilika.

Pia Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linawashikilia watu wawili wanaojihusisha na wizi wa fedha kwa njia ya mtandao.

kumekuwepo na wimbi la kuwaibia watu kwa njia ya mtandao ambapo amekamatwa ABDALAH RISHAM na mwenzake wakiwa miongoni mwa wahalifu wanaotuma ujumbe kwa namba mbalimbali kwa watu mbalimbali kwa lengo la kuwaibia. Aidha watuhumiwa hao wamekamatwa na simu (2) wanazobadilishia laini za simu kwa lengo la kufanyia uhalifu.

katika ufuatiliaji watuhumiwa hao sugu wamekamatwa na laini 20 za mitandao mbalimbali ya simu pamoja na simu 2 wanazotumia kufanyia uhalifu huo.

watuhumiwa wote wanaendelea kuhojiwa na taratibu za mashtaka zikikamilika watapelekwa mahakamani.

Onyo; Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es salaam linatoa onyo kali kwa wahalifu wote hasa wanaojihusisha na uhalifu wa kutumia silaha za moto kwa sababu kimsingi mazingira ya ukamataji wa mtuhumiwa anaye tumia silaha yatalilazimisha jeshi kutosita kutumia silaha wakati wa utekelezaji wa kazi zake hasa ukamataji.

Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es salaam linawashukuru wananchi ambao wamekuwa msaada mkubwa na wametutengenezea mazingira mazuri ya kufanya kazi polisi kanda maalum.

MULIRO J. MULIRO- ACP

KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM,

DAR ES SALAAM.

11/06/2021.

7FD87C90-8E56-4596-A02E-826565AF0075.jpeg
 
RCO Kanda maalum anayejua mengi .ofisi yake nayo ni jipu
 
Kama ni jambazi sugu halafu hakujeruhiwa

Kabisa..tutaachiwa manyoya...
 
Kazi nzuri
Bado wale wa madawa ya kilimo na matrekta pamoja na wa nitumie kwenye sim hii
Halafu kuna wale wa nitumie na yakutolea halafu ukituma haji naomba nao wakamatwe 😃😃😃
 
Watu wanakula na wakubwa mkuu kibosile hakuwa mtu wa mchezo nadhani ana network yakutosha
Jamaa toka kitambo sana amekuwa akifanya deal hizo za mambo ya viza etc
Alikuwa anakaa magomeni...mtu yoyote aliyekuwa msafiri huyu jamaa hawezi kukosa kumjua....
Watu wengi wamesafiri kwa connection zake

That's life lakini

Ova
 
Back
Top Bottom