Watuhumiwa wa mauaji watoroka mahubusu

Kassim Awadh

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
884
Reaction score
187
Watu wanne wakiwemo watuhumiwa watatu wa kosa la mauaji wametoroka kutoka mahabusu ya Polisi kituo cha Mbeya mjini (central) baada ya kuchimba,kutoboa tundu katika mahabusu walimokuwamo. Watuhumiwa hao waliumwagia ukuta maji kisha kuutoboa kwa kutumia vipande vya nondo. Rpc Advocate Nyombi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.


Hawa walipata wapi vifaa hivi ikiwa mtu huingii mahabusu mpaka umepekuliwa na kutolewa "vitu vya hatari"?
 
Inanikumbusha PRISON BREAK toka FOX RIVER hadi SONA PRISON
 
duh wanaingia tena mtaani kuua, mmmh hii TZ bhana...
 

Legal officer Nyombi, jibu masuali machache yafuatayo:

Ni muda gani mtuhumiwa anakaa mahabusu kabla ya kupelekwa mahakamani?

Imewachukuwa muda gani hao watuhumiwa kutoboa ukuta wa amahabusu mpaka kuweza kutoka nje?

Hizo nondo ziliingiaje mahabusu mpaka wakatumia kutoboa ukuta?

ANGALIZO:

Sheria iko wazi ikuwa mtuhumiwa lazima afikishwe mahakamani masa a 24 baada ya kukamatwa
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Cheza na Mbeya wewe !
 
mbeya ninoma kwakila ki2,

Hamna kitu hapo polisi wanataka kujustify kitu, upuuzi 100%. labda angesema waliwekwa kwenye ghala la kijiji, sio mahabusu ya Mbeya mini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…