Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kama tunatamani nchi hii iwe na magaidi, basi Mungu atatupatia tunachokiomba na ikiwezekana iwe soon ili tuone ubaya wa kamanda Mbowe kwa vitendo.
Wenzetu walionja gharama za magaidi na ugaidi, hawataki hata kusikia habari zao ila sisi siasa zimetufanye tutamani ugaidi basi Mungu atupatie kile tunachokitaka ili tufanye siasa vizuri zaidi.
Wanoaendelea kumuita Mbowe gaidi, watazame picha hii mara mbili mbili na wajiulize kama wako tayari kuishi na wanaoitwa magaidi wakati mlio tu wa bunduki wengine wanazimia na pressure kupanda.
Haya hawa ndio magaidi kwa mujibu wa hii katuni:
Narudiia, Mungu tupatie tunachokitaka ili kamanda wetu hapo afanane kivitendo na wenzake .