Watuhumiwa waliokuwa wanatuhumiwa kukutwa na ndege TAUSI waachiwa huru, je kufuga Tausi ni halalli?

Watuhumiwa waliokuwa wanatuhumiwa kukutwa na ndege TAUSI waachiwa huru, je kufuga Tausi ni halalli?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Nadhani makosa yaliyotunguliwa na Biswalo Mganga dhidi ya watu mbalimbali kinyume Cha haki na bila upelelezi kukamilika kwa miaka kadhaa yanatia kichefuchefu na kujiuliza amepandishwaje kuwa Jaji?

Mfano mdogo, watuhumiwa wanadaiwa kukutwa na nyara za serikali( ndege aina ya Tausi) na wanawekwa mahabusu kwa miaka kadhaa uchunguzi ukiendelea, wanachunguza Kama hao kweli ni Tausi au waliwabambikia tu kesi? Je huyo Tausi kama exbit amepotea, ameuzwa, amefariki Hadi tushindwe kumfikisha mahakamani kama kosa lipo wazi?

Endapo mtu alisingiziwa kukutwa na Tausi ambao wanaishi Ikulu, je aliyefanya huu unyama wakuchukua tausi nakupeleka nyumbani kwa mtuhumiwa ni Nani? Kwa Sasa tausi huyo yupo wapi maana mahakama imesema waliokuwa wanMmiliki hawana hatia? Je, Kama kweli walikuwa wanammiliki na Awana hatia, je kufuga Tausi Ni halali?
 
Ndugu zangu haya yote tumuachie Mungu. Poleni sana kwa maumivu.
 
Jamani ninafungua nchi-Samia
 
Kwa muujibu wa serikali Tausi ni nyara ya serikali inayohitaji kubali...
 
Kipindi hiki ni kwaajili ya kuwafurahisha wananchi. Haijalishi uwe na kosa au usiwe na kosa utaachiwa tu ili Mradi mwanachi afurahi.

Yaani kipindi hiki kosa litakalokufanya ukae mahabusu ni mauaji tu. Ila uhujumu uchumi, ubadhilifu wa mali za umma ni free Mandela
 
Hamnazo na genge lake wameiharibu Sana hii nchi.
 
Kipindi hiki ni kwaajili ya kuwafurahisha wananchi. Haijalishi uwe na kosa au usiwe na kosa utaachiwa tu ili Mradi mwanachi afurahi.

Yaani kipindi hiki kosa litakalokufanya ukae mahabusu ni mauaji tu. Ila uhujumu uchumi, ubadhilifu wa mali za umma ni free Mandela
Makosa mengi yalikua yakubambika Ili mradi tu wakuchojoe pesa
 
Hao waliokuwa na kesi ya tausi walibambikiwa kesi na Bashite baada ya kunyimwa pesa
 
Back
Top Bottom