Hiyo ni kwa mujibu wa uchunguzi wangu, nawe unaweza kufanya hapo ulipo. Walimu wengi ni watu fulani wasio na stress zilizopitiliza nazungumzia wengi, sijakataa wapo wachache.
- Utawakuta wakiwa na furaha muda mwingi sana. Sijui kuna uhusiano na ukaribu wa watoto?
- Wanadumu mnoooo baada ya kustaafu (hawazeeki haraka) ukikutana na mwalimu aliyestaafu 2005 huwezi amini jinsi alivyo na strong. Wengine, wengi wao, huwa na miaka miwili au mitatu tu na huchoka haraka sana.