Watumbuizaji wa wasafi festival walivochaguliwa wa upande Mmoja na kwa makusudi

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Kwanza nianze na waratibu
Fella Muslim
Sallam Muslim
Tale Muslim

Madjs
Romy Jones Muslim
Djommy muslim

Tuje kwa wanamuziki sasa

Diamond Muslim
Harmonize muslim
Mbosso muslim
Lava lava muslim
Dudubaya mpagani
Hadija kopa muslim
Dully Sykes Muslim

Kwa nini mmewalazimisha Leo wanamuziki warudi dar. Bila kwenda kanisani?
Navykenzo na Baba Malcom walipoomba muanze safari ya kurudi dar Mchana Angalau asubuhi wapate wasaa wa kwenda kanisani kwanini tale ulikataa
 
Udini hujaacha.
 
Rayvanny mkristo,je tamaduni music ?
 
Mleta mada ni mjinga na Mpumbavu namba moja jukwaa hili kwa mwaka huu
 
Makuzi
 
Ndio maana nyinyi watu mnaitwa kondoo. Mimi nakubali kabisa hizi ni akili kama kondoo.
 
Mbona Mtwara wametoka saa Tisa kamili jioni? Au hao wanakesha huko kanisani? Na huku amebaki Jonijo sijui anaitwa.

Wametoka Naf & Luwa evergreen Hotel wakapita maeneo ya "koko beach" mpaka Mnarani Magomeni, Nkanaledi, Ufukoni, Dangote na kuendelea kurudi kwao.

Ulikuwa msafara wa coaster 4 na V8 mbili na gari mwisho Kutoka ile ya wasanii coaster ya 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…