Watumbuizaji wa wasafi festival walivochaguliwa wa upande Mmoja na kwa makusudi

inawezekana ndio maana Messi alitimuliwa full mirozari kwi kwi kwi
 
shonza.muingreza
 
Ukimaliza Kuchambua Udini wakikaa sawa utaanza

Wakristo wakatoliki wangapi... Ukimaliza utakuja Kwenye ukabila
 
Huu unafki ni mbaya na haufai,,kwani walikuwa wanaswali hapo uwanjan??
Kuna siku nikatoka jioni kuangalia mechi ya azam na timu moja ya nje,,kuna mtu pale anaiombea azam ifungwe nikamuuliza,,Mbona huna uzalendo unashabikia wakuja?? Akaniambia eti hio ni timu ya waislam,,,Nikamwambia hilo linakukera nn?? Sasa nikajua ana ugonjwa mdogo tu ila mbaya.ila nilimpa shule kwamba Kuna wanaojiita wakristo yeye akienda hata kuomba kazi ya kufuta vioo hata kupikia mbwa hapati.lakini unaoona ni waislam wakakupa kazi au kukupa hata wazo.
Mimi wasafi festival hapa dar nitahudhuria.Pale kuna vipaji.Ni kama uache kuangalia mpira kisa mesi au ronaldo au aubameyang au toreira ni muislamu wakati kuna vipaji,,huko ni sawa na kuwa crazy.Furaha haina dini.
 
Tanzania tumeshaingia kwenye tatizo kubwa sana sana sasa.
Udini,udini,udini.
Dah.
 
utakuwa na bifu na uislam alafu uislam hata habari na wewe haunaa.
 
Akili kama hizi zinamfanya Magufuli aongee ujinga wowote anaojisikia kwa sababu anajua kuna wajinga wengi sana mtaani.
 
Sallam na udini mungu anamuona
 
Acheni ujuaji hao wote ni wapagani ,muislamu anachora tatoo? Muislamu anazaa Mara mbili bila ndoa? Muislamu unamjua wewe? Hao ni wapagani wote.

Afu nani kakudanganya hao wakeshaji baa sinza wanaendaga kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…