COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,603
- 3,658
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Kariakoo. Colgate toka Zambia na Kenya zilikuwepo zakumwaga hapo Dar kama ulikuwa na pesa.Dah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.
Tumetoka mbali.
Dah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.

Labda Kariakoo. Colgate toka Zambia na Kenya zilikuwepo zakumwaga hapo Dar kama ulikuwa na pesa.