Watumiaji Dawa ya Meno someni hapa tafadhali, ni muhimu kwa afya yako

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,603
Reaction score
3,658
Je, umewahi kujiuliza maana ya alama za rangi zinazowekwa chini ya kopo la dawa ya meno?

Basi ninakushauri ni vyema ukajua nini unaweka mdomoni mwako kila siku unapo piga mswaki.

Tazama picha hiyo hapo chini.

1.

Maana yake angalia picha hizi zifuatazo (2&3)

2.

3.
 
Asante mkuu!
Baada ya kusoma uzi huu, nimejaribu kuchungulia dawa ya meno niliyonunua dukani hivi juzi.
Mbona nimetamani niitupe!
Inaitwa: Extra Fresh [size=+2]Angola[/size] toothpaste.
Label inaonyesha: All Chemicals.
 
Dah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.

Tumetoka mbali.
 
Labda Kariakoo. Colgate toka Zambia na Kenya zilikuwepo zakumwaga hapo Dar kama ulikuwa na pesa.
 
Je umewahi kujiuliza maana ya alama za rangi zinazowekwa chini ya kopo la dawa ya meno? Basi ninakushauri ni vyema ukajua nini unaweka mdomoni mwako kila siku unapo piga mswaki. Tazama picha hiyo hapo chini.

1.

Maana yake angalia picha hizi zifuatazo (2&3)

2.

3.
 
Dah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.

Tumetoka mbali.

Nyingine ilikuwa inaitwa "bonnamed", ilitengenezwa Arusha, ilikuwa na marashi ya karafuu ladha ya ugali.
 
duuuh asante sana aisee, nimeangalia yangu ina jina la uasili kumbe ful kemikali mweeh nahama jaman
 
Dah! Umenikumbusha enzi za Nyerere, dawa za meno zilikuwa aina moja tu (siku ukifanikiwa kuipata), zinaitwa maxim, ukipigia mswaki asubuhi, mpaka jioni ukila chakula domo halisikii ladha ya chakula.

Tumetoka mbali.

mleta mada anazungumzia dawa ya MSWAKI, inapatikanaa wapi hii dawa, na kazi zake ni nini???
 
Family dent chini ina ribbon nyeusi afu wameandika herbal khaaa
 
Hapa nimejifunza, haraka nitaelekea bafuni kutafakali natumia nini, nadhan, blue na green salama zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…