House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,179
- 2,177
mleta mada anazungumzia dawa ya MSWAKI, inapatikanaa wapi hii dawa, na kazi zake ni nini???
mleta mada anazungumzia dawa ya MSWAKI, inapatikanaa wapi hii dawa, na kazi zake ni nini???
Je umewahi kujiuliza maana ya alama za rangi zinazowekwa chini ya kopo la dawa ya mswaki? Basi ninakushauri ni vyema ukajua nini unaweka mdomoni mwako kila siku unapo piga mswaki. Tazama picha hiyo hapo chini.
1.View attachment 217737
Maana yake angalia picha hizi zifuatazo (2&3)
2.View attachment 217738
3.View attachment 217736
What do you mean! Biashara ya kimataifa imeanza leo?!Za magendo? ndiyo chanzo cha magendo na ufisadi wakati huo wa Nyerere.
Huyo analeta utani tu. Wengi wamezoea kuiita dawa ya meno kuwa ni dawa ya mswaki. Common mistakeUbishi mwingine ambao hauna maana.
Mswaki tangu lini ukawa na dawa!
Hivi non-living material uwa ina dawa?
Asante kwa mada nzuri ya kuelimisha kuhusu afya zetu na madawa. Niliposoma tu nikaenda kukagua dawa ninazotumia nikakuta zina hako karangi ka bluu nikaona afadhali. Sasa hivi nitakuwa makini sana wakati wa kununua dawa za meno. Kakosa kadogo tu ulikokafanya kwenye mada yako ni kusema dawa ya mswaki badala ya meno. Tumerekebisha wenyewe usihangaikeJe, umewahi kujiuliza maana ya alama za rangi zinazowekwa chini ya kopo la dawa ya meno?
Basi ninakushauri ni vyema ukajua nini unaweka mdomoni mwako kila siku unapo piga mswaki.
Tazama picha hiyo hapo chini.
1.View attachment 217737
Maana yake angalia picha hizi zifuatazo (2&3)
2.View attachment 217738
3.View attachment 217736