Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mounting ya gear box na engine ziko poa?
Sometimes hawa mafundi wetu wa uswahilini ni shida Tu...kama upo dar nenda Temeke karibu na hospital kuna mafundi wazuri
Aaah ok nimekusoma Mkuu nilijua ni mguu wa mbeleMkuu nimeona kama anasema mguu wa nyuma sio mbele..
Aaah ok nimekusoma Mkuu nilijua ni mguu wa mbele
Vip umeishapata ufumbuzi wa hilo tatizo..? Mimi pia nina Probox ina tatizo kama hilo ila huwa nachukulia poa ingawa hako ka mlio kanakera sana..
Sio IST tu gari huwa zinaendana matatizo,kwa tatizo kama hilo hilo hata opa,raum au carina nayo itagonga hivyo. Kama uliweka specer wakaangalie wafungue buti mpaka pale juu walipofungia hizo specer. Kuna muda mwingine zinakuwa na kawaida ya kutoboa body upande wa shock up kwa juu. Vinginevyo fanya mpango uza agize ingine,IST iko kwenye soko sana kwa sasa,hivyo utauza vizuri tu
Eti ujinga?. Wewe unafikiri hizi gari used from Japan zote walioziuza kule kwenye soko japan zilikuwa nzima 100%. Zipo zilizopelekwa kwenye soko ksbb ya matatizo. Na hilo tatizo la hiyo IST ni lazima lilikuwemo hata wakati ananunua gari,na usishangae alieliuza japan kwenye soko,aliuza ksbb ya hilo hilo tatizo. Kuna mawili either amwambie anaemuuzia gari lina tatizo sehemu fulani kidogo,au ataligundua mwenyewe mnunuzi. Siwezagi ujinga wa kukaa na chombo kinachonizingua,iwe simu au gariAcha kumshuri ujinga eti uza hiyo ! Kwahiyo anaye nunua akutane na tatizo sio mshauri atafute fundi mzuri alekebishe kisha ndio auze
Mimi24,
Vipi umeishapata ufumbuzi wa hilo tatizo? Mimi pia nina Probox ina tatizo kama hilo ila huwa nachukulia poa ingawa hako ka mlio kanakera sana.