Watumiaji wa Airtel mmeanza kufurahia hii huduma?

Watumiaji wa Airtel mmeanza kufurahia hii huduma?

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Nasikia Gb 7 zinatolewa kwa siku 14.

Screenshot_20210702-090727.png

Vipi kwako huko unazipata au ndio geresha?
 
hapo kukinunua hicho kifurushi pana ongezeko la kodi kati ya TZS 10 - 10,000 kulingana na budget impya ya sirikali
 
Airtel hata watoe Gb 10 kwa jero.

Siwataki kabisa🤨 labda wanipe dakika tu.

Haiwezekani limtandao lao linakuwa ni zito mtandaoni Kama linahangaika kusogeza milima🤐
 
Airtel 2anakupa bando la kutosha !!! Mtandao ukajitafutie mwenyewe
 
Back
Top Bottom