Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,858
- 3,393
Matusi ya nini Ndugu yangu, AliExpress mara nyingi kama sio mara zote hutumia usafiri wa Anga ndio maana nimeuliza, na nimeandika hapo vizuri kabisa kwa walio tumia huduma zao recently anipe uzoefu, wewe hapo zoefu umeandika upi....!?Hujui kama hali ya usafir wa maji sio salama? Au ndo nyinyi wapumbavu msioangalia hata taarifa za habari za kimataifa?
Bado huna unalolijua kwaherMatusi ya nini Ndugu yangu, AliExpress mara nyingi kama sio mara zote hutumia usafiri wa Anga ndio maana nimeuliza, na nimeandika hapo vizuri kabisa kwa walio tumia huduma zao recently anipe uzoefu, wewe hapo zoefu umeandika upi....!?
Hapo nimekupata Kaka, Shukrani sana.Mbona walitoa taarifa,Shipping zinasumbua africa na america...
Nenda kwenye e-mail yako ya mwanzo uliyokua unafanyia manunuzi utaona notfctn ya alibaba...
Tumia amazon kwa sasa kama unawaamini wapo vizur issue ni price tag
Basi mkuu,Matusi ya nini Ndugu yangu, AliExpress mara nyingi kama sio mara zote hutumia usafiri wa Anga ndio maana nimeuliza, na nimeandika hapo vizuri kabisa kwa walio tumia huduma zao recently anipe uzoefu, wewe hapo zoefu umeandika upi....!?
Hapakua na sababu yoyote yakutumia kauli hiyo.Hujui kama hali ya usafir wa maji sio salama? Au ndonyinyi wapumbavumsioangalia hata taarifa za habari za kimataifa?
HahaHapakua na sababu yoyote yakutumia kauli hiyo.
Kaanzishe kanisaHapakua na sababu yoyote yakutumia kauli hiyo.
Free shipping mara nyingi karibia zote ni speedafMimi nimetumia AliExpress muda kidogo umepita, mwaka 2025 nilitumia mara moja tu, tena pale mwanzoni, juzi hapa naingia nahitaji kuagiza kitu nakuta mauza uza.
Shipping method ni moja tu, "Free shipping" na hakuna option ya kuchagua na hujui nani ataleta mzigo, pia muda ni mrefu sana, mfano na angalia leo May 10, mzigo unasoma watadeliver July 15, Mbona kama ni mrefu sana, na kwa uzoefu wangu ilikua ikisoma Siku 21 maximum mwezi, leo ni miezi miwili na zaidi, aliye agizisha hivi karibuni anipe uzoefu tafadhali.
Ila kwa upande wangu speedAf hua fasta kuliko Posta.Free shipping mara nyingi karibia zote ni speedaf
Huo mdaa huwa wanaandika tu pamoja na hitilafu nyingine zitakazo tokeaIla kwa upande wangu speedAf hua fasta kuliko Posta.
Ila mzigo ukipitia posta kuna mawili uupate au usiupate bora kutumia wakala wa alitexpressMtoa bandiko pole kwa kutokujua haya,
Kwanza huo mda ulioandikwa hapo wa siku 75 kama sikosei ni makadirio ya juu ila aliexpress now wako njema mara nyingi mizigo naipata chini ya siku 18 hivo nunua tu.
Product kua na free shiping isikufanye kusita kununua kwani mizigo inasafirishwa na inafika vizuri kabisa tu
Kuna ambao nimeagiza hivi karibuni japo ulikuwa mdogo ila sijaupata na ni miezi miwili imepita kabisa bila hata taarifa yoyote.Ila mzigo ukipitia posta kuna mawili uupate au usiupate bora kutumia wakala wa alitexpress
Kama kitu hukijui bora uulize sio kuwachafua posta sheikhe nina uzoefu wa miaka kumi now kununua online na sijawah poteza chochoteIla mzigo ukipitia posta kuna mawili uupate au usiupate bora kutumia wakala wa alitexpress
Kama kitu hukijui bora uulize sio kuwachafua posta sheikhe nina uzoefu wa miaka kumi now kununua online na sijawah poteza chochote
Acheni ujuaji usio na tija haya specific eleza kabisa ukiingia aliexpress kununua mzigo kuna sehemu umewahi kutana na shipping carrier speedaf (imetajwa before ya kufanya malipo) au automatic wao ndio wanaselekt item ije na carrier yupi? Kama hujui procedure za kununua vitu online utabaki unalaumu watu bure na kuwachafua. BORA KUULIZA UKAELEKEZWA HAO SPEEDAF UNAZIJUA KERO ZAO AU PENGINE MNANUNUA ITEM MOJA LEO MNAKAA MIEZI TISA NDIO MNA NUNUA INGINE. Posta tz ni bora mara elfu moja na wametusaidia kwa mda mrefu before hao speedaf na ufikaj wa mzigo ni asilimia mia. Pitia humu nyuzi za speedaf kulalamikiwa ziko ngapi linganisha na posta uje na ushahid hapa. Tunanunua kila siku na mizigo inafika salama tu. Sasa hao ajent wa speedaf ambao hata kulipwa kwao ni kwa kamisheni kwa kila mzigo uje ulinganishe na watumishi wa posta? Ushahidi huo, kwa mwezi mmoja nanunua bidhaa si chini ya laki 5nazote hunifikia bila keleleNi kweli anachosema. Posta bado kuna njaa. Watu hawatosheki na mishahara yao.
Cha msingi atumie speedaf asiache freeshipping ipitie Posta atalia!