Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Leta kipengele cha kuichagua hio speedaf kwa bidhaa yeyote ile ilioko aliexpress kiongozi tukione na sie tujifunze ila kwa uelewa wangu speedaf kwenye list ya shipping carrier walioko kwenye bidhaa zote a aliexpress wala hayupo, nakupa mfano mwingine hapaNi kweli anachosema. Posta bado kuna njaa. Watu hawatosheki na mishahara yao.
Cha msingi atumie speedaf asiache freeshipping ipitie Posta atalia!
Mpuuzi wewe eti uzoefu miaka 10 nao ni wakuniringishia, nimeanza kuagiza parcel ebay,amazon nk kambla hata hujazaliwa wewe, wewe unaongelea miaka 10 hiyo ya aliexpress na hao kikuu wenu wa vitu feki na matoys,Kama kitu hukijui bora uulize sio kuwachafua posta sheikhe nina uzoefu wa miaka kumi now kununua online na sijawah poteza chochote
Speedaf mara nyingi anasafirisha parcel ndogo ndogo na hasa zilizo chini ya 4kg na ndio maana bidhaa yeyote ukisha ona shipping agent ni "Aliexpress standard shipping" ujue hiyo parcel itasafirishwa na speedaf na huwa zinafika mapema sana na baadhi huwa ni free shipping.Leta kipengele cha kuichagua hio speedaf kwa bidhaa yeyote ile ilioko aliexpress kiongozi tukione na sie tujifunze ila kwa uelewa wangu speedaf kwenye list ya shipping carrier walioko kwenye bidhaa zote a aliexpress wala hayupo, nakupa mfano mwingine hapa
Acha matusi njoo na kipengele kinachosema ukinunua mzigo aliexpress au kwingine specifically unachagua speedaf unaweza kua na miaka mia kwenye tasnia flani ukazidiwa na wa miezi mitatu, leta kipengele kinachoonesha speedaf nikulipe laki sasa hiviMpuuzi wewe eti uzoefu miaka 10 nao ni wakuniringishia, nimeanza kuagiza parcel ebay,amazon nk kambla hata hujazaliwa wewe, wewe unaongelea miaka 10 hiyo ya aliexpress na hao kikuu wenu wa vitu feki na matoys,
Posta hawana uhakika kwenye parcels mizigo mingi hasa midogo midogo inapotea sana ikipitia posta nina uzoefu mkubwa sana bwana mdogo. Na nina kesi zangu si chini ya 7 kupitia posta na zingine hadi ilibidi ni request refund kwa sellers baada tracking kuonesha mzigo ulisha kuwa clared lakini kwangu haujafika.
Umekariri vibaya na kwa maelezo yako ni ngumu sana kukubadili ukaelewa japo nilikua nimekujibu lashalasha kuonesha tu ulichokisema ni uongo nilitaman nikueleweshe kitu ila baki na uelewa wako sihitaji malumbano nyuma ya keyboard na ujue tu kwanza speedaf bongo hawako official na hata ofisi zao ni za kuviziana tu mdogo wanguSpeedaf mara nyingi anasafirisha parcel ndogo ndogo na hasa zilizo chini ya 4kg na ndio maana bidhaa yeyote ukisha ona shipping agent ni "Aliexpress standard shipping" ujue hiyo parcel itasafirishwa na speedaf na huwa zinafika mapema sana na baadhi huwa ni free shipping.
Umeanza shombo mwenyewe halafu una lalamika, hakuna speedaf ila kuna aliexpress standard shipping ambao humtumia speedaf kama sipping agentAcha matusi njoo na kipengele kinachosema ukinunua mzigo aliexpress au kwingine specifically unachagua speedaf unaweza kua na miaka mia kwenye tasnia flani ukazidiwa na wa miezi mitatu, leta kipengele kinachoonesha speedaf nikulipe laki sasa hivi
Kwa nilivyo kuona na hoja zako huna cha kunielekeza, niache tuu ilimradi kila ninacho agiza kokote duniani kinafika iwe kwa speedaf, TNT au DHL na nina uhuru wa kuamua mzigo wangu unifikie kwa njia gani hata nisipo taka kutumia hao shipping agent waliopo, nashukuru ila sihitaji chochote kutoka kwako.Umekariri vibaya na kwa maelezo yako ni ngumu sana kukubadili ukaelewa japo nilikua nimekujibu lashalasha kuonesha tu ulichokisema ni uongo nilitaman nikueleweshe kitu ila baki na uelewa wako sihitaji malumbano nyuma ya keyboard na ujue tu kwanza speedaf bongo hawako official na hata ofisi zao ni za kuviziana tu mdogo wangu
Mpuuzi wewe eti uzoefu miaka 10 nao ni wakuniringishia, nimeanza kuagiza parcel ebay,amazon nk kambla hata hujazaliwa wewe, wewe unaongelea miaka 10 hiyo ya aliexpress na hao kikuu wenu wa vitu feki na matoys,
Posta hawana uhakika kwenye parcels mizigo mingi hasa midogo midogo inapotea sana ikipitia posta nina uzoefu mkubwa sana bwana mdogo. Na nina kesi zangu si chini ya 7 kupitia posta na zingine hadi ilibidi ni request refund kwa sellers baada tracking kuonesha mzigo ulisha kuwa clared lakini kwangu haujafika.
Swali langu unazunguka mzee je ni wewe buyer ndio una opt speedaf(alie std shipping), kupitia machaguo yaliopo kwenye majina ya wasafirishaji au inatokea tu thou unaweza chat na seller ukamuomba afanye hivo na asifanye? Huez sasa ku generalize kua buyer kila akinunua tu item ndogo eti achague speedaf kupitia hayo machaguo kitu ambayo sioUmeanza shombo mwenyewe halafu una lalamika, hakuna speedaf ila kuna aliexpress standard shipping ambao humtumia speedaf kama sipping agent
Swali langu unazunguka mzee je ni wewe buyer ndio una opt speedaf(alie std shipping), kupitia machaguo yaliopo kwenye majina ya wasafirishaji au inatokea tu thou unaweza chat na seller ukamuomba afanye hivo na asifanye? Huez sasa ku generalize kua buyer kila akinunua tu item ndogo eti achague speedaf kupitia hayo machaguo kitu ambayo
Ukiona tu tracking available jua ni speedafLeta kipengele cha kuichagua hio speedaf kwa bidhaa yeyote ile ilioko aliexpress kiongozi tukione na sie tujifunze ila kwa uelewa wangu speedaf kwenye list ya shipping carrier walioko kwenye bidhaa zote a aliexpress wala hayupo, nakupa mfano mwingine hapa
Acha uongo wako shekhe, nimekataa kwa herufi kubwa, sio kila trwcking available ni speedaf,Ukiona tu tracking available jua ni speedaf
Una ushahidi upi mkuu kwa sababu hu ni uzoefu nilionao sio nadharia yaani ikiwa free shipping, AliExpress standard shipping, caniao super economy hafu ikiwa available inakuwa speedafAcha uongo wako shekhe, nimekataa kwa herufi kubwa, sio kila trwcking available ni speedaf,
Rudia ulichokiandika tu vizuri ukisoma kisha fafanua vizuri kwa hio hao chini wote nao ni speedaf? Kwa kuzingatia tracking availableUna ushahidi upi mkuu kwa sababu hu ni uzoefu nilionao sio nadharia yaani ikiwa free shipping, AliExpress standard shipping, caniao super economy hafu ikiwa available inakuwa speedaf
Hapo speedaf ni free shipping via AliExpress standard shippingRudia ulichokiandika tu vizuri ukisoma kisha fafanua vizuri kwa hio hao chini wote nao ni speedaf? Kwa kuzingatia tracking available
Speedaf wao kazi yao ni kufuatilia mzigo taarifa ya mzigo wako na kuuratibu ukiwa safarini ndani ya bongo. Sio kuusafirisha moja kwa moja kutoka chinaLakini pia nikuulize swali mkuu dogo tu kwa nini tracking number ya speedaf inakuruhusu tu kutrack kupitia speedaf wenyewe ukiiweka kwenye site zingine za kimataifa kama 17tracking 24tracking haikupi update yeyote na hata baada ya mzigo kufika bongo hauwez ona kupitia postal tracking?
Anadhani hapa ni facebook huyo, Muache ajichoreshe tu.Mpuuzi wewe eti uzoefu miaka 10 nao ni wakuniringishia, nimeanza kuagiza parcel ebay,amazon nk kambla hata hujazaliwa wewe, wewe unaongelea miaka 10 hiyo ya aliexpress na hao kikuu wenu wa vitu feki na matoys,
Posta hawana uhakika kwenye parcels mizigo mingi hasa midogo midogo inapotea sana ikipitia posta nina uzoefu mkubwa sana bwana mdogo. Na nina kesi zangu si chini ya 7 kupitia posta na zingine hadi ilibidi ni request refund kwa sellers baada tracking kuonesha mzigo ulisha kuwa clared lakini kwangu haujafika.
Speedaf wao kazi yao ni kufuatilia mzigo taarifa ya mzigo wako na kuuratibu ukiwa safarini ndani ya bongo. Sio kuusafirisha moja kwa moja kutoka chin
Tuiache hii mada ila sio kila aliexpress standard shiping ni speedaf, na kama ndivo baada ya ujio wa speedaf basi automatically aliexpress standard shiping angebadili na jina kabisa likabak moja kama ni speedaf au aendelee na aliexpress, unachokosea ni kuamin kua speedaf ni aliex noo sema wanaushirikiano na kuna muda baadhi ya mizigo kama ilivyokua awai kabla ya speedaf aliexpress aliwah kua na ushirikiano na kampuni moja ya kutoka scandnavia tukawa tunapata mizigo ikiwa na trackin number yenye heruf RU, speedaf ni Tz na Akiship aliexpress mwenyewe ni RBSpeedaf wao kazi yao ni kufuatilia mzigo taarifa ya mzigo wako na kuuratibu ukiwa safarini ndani ya bongo. Sio kuusafirisha moja kwa moja kutoka china