Watumiaji wa Gesi: MUHIMU Kusoma hapa

Watumiaji wa Gesi: MUHIMU Kusoma hapa

Kishongo

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
932
Reaction score
64
Wana JF, kama wewe ni mtumiaji wa gesi nyumbani kwako, fungua hii linki ili ujihabarishe jinsi ya kuepuka kununua mitungi iliyokwisha muda wake ambayo ni hatari kwa usalama wetu.

MICHUZI: Gas Cylinder Expiry Date
 
Jiulize: Umeitendea nini Tanzania katika Miaka 50 ya Uhuru wake!

Nimelipa Kodi zimeliwa na mafisadi! Nadhani Gov ndio inatakiwa kujibu hilo
 
Jiulize: Umeitendea nini Tanzania katika Miaka 50 ya Uhuru wake!

Nimelipa Kodi zimeliwa na mafisadi! Nadhani Gov ndio inatakiwa kujibu hilo

Kodi ni wajibu, kila mtu analipa. Una lolote la ziada ulilowahi kuifanyia Tz? Wazalendo wa kweli tunayo meengi.
 
Back
Top Bottom