Kishongo JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 932 Reaction score 64 Sep 1, 2011 #1 Wana JF, kama wewe ni mtumiaji wa gesi nyumbani kwako, fungua hii linki ili ujihabarishe jinsi ya kuepuka kununua mitungi iliyokwisha muda wake ambayo ni hatari kwa usalama wetu. MICHUZI: Gas Cylinder Expiry Date
Wana JF, kama wewe ni mtumiaji wa gesi nyumbani kwako, fungua hii linki ili ujihabarishe jinsi ya kuepuka kununua mitungi iliyokwisha muda wake ambayo ni hatari kwa usalama wetu. MICHUZI: Gas Cylinder Expiry Date
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,720 Sep 1, 2011 #2 Jiulize: Umeitendea nini Tanzania katika Miaka 50 ya Uhuru wake! Nimelipa Kodi zimeliwa na mafisadi! Nadhani Gov ndio inatakiwa kujibu hilo
Jiulize: Umeitendea nini Tanzania katika Miaka 50 ya Uhuru wake! Nimelipa Kodi zimeliwa na mafisadi! Nadhani Gov ndio inatakiwa kujibu hilo
Kishongo JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 932 Reaction score 64 Sep 1, 2011 Thread starter #3 RaisiWaPemba said: Jiulize: Umeitendea nini Tanzania katika Miaka 50 ya Uhuru wake! Nimelipa Kodi zimeliwa na mafisadi! Nadhani Gov ndio inatakiwa kujibu hilo Click to expand... Kodi ni wajibu, kila mtu analipa. Una lolote la ziada ulilowahi kuifanyia Tz? Wazalendo wa kweli tunayo meengi.
RaisiWaPemba said: Jiulize: Umeitendea nini Tanzania katika Miaka 50 ya Uhuru wake! Nimelipa Kodi zimeliwa na mafisadi! Nadhani Gov ndio inatakiwa kujibu hilo Click to expand... Kodi ni wajibu, kila mtu analipa. Una lolote la ziada ulilowahi kuifanyia Tz? Wazalendo wa kweli tunayo meengi.