D Mtanzania
Member
- Apr 27, 2018
- 22
- 17
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaza jina la card utakayokuwa unatumia, kufanya malipo, kama ni visa , AE ,mastercard....View attachment 3137551Msaada Kwenye Mshale Unajazaje Hiyo Nafasi
View attachment 3137551Msaada Kwenye Mshale Unajazaje Hiyo Nafasi
Ile nafafi mwanzo haikuwepo tulikuwa tunajaza kawaida ila sasa hv wanasema lazima ijazweKwanini umehitaji wa apple ndio wajibu wakati hilo swali ni mtu yeyote anayenunua mtandaoni anaweza jibu? Kama unatumia kadi ya benki ya atm tazama maandishi yake imeandikwa nini visa, MasterCard? Jaza utakachoona, pia hizo number, expiration date na cvv utazipata kwenye atm card yako hiyo hiyo, vinginevyo unaweza tengeneza kadi mtandao kutokea mtandao wako wa simu itakupa jina la card kama ni visa ama na taarifa hizo zingine number, expiration na cvv