Watumiaji wa Iphone hiyo Space inamaana gani Au Inajazwaje?

unataka ununue nini ???

kama ni card ya malipo tumia

kadi za malipo za mtandao husika
 
View attachment 3137551Msaada Kwenye Mshale Unajazaje Hiyo Nafasi

Kwanini umehitaji wa apple ndio wajibu wakati hilo swali ni mtu yeyote anayenunua mtandaoni anaweza jibu? Kama unatumia kadi ya benki ya atm tazama maandishi yake imeandikwa nini visa, MasterCard? Jaza utakachoona, pia hizo number, expiration date na cvv utazipata kwenye atm card yako hiyo hiyo, vinginevyo unaweza tengeneza kadi mtandao kutokea mtandao wako wa simu itakupa jina la card kama ni visa ama na taarifa hizo zingine number, expiration na cvv
 
Ile nafafi mwanzo haikuwepo tulikuwa tunajaza kawaida ila sasa hv wanasema lazima ijazwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…