Watumiaji wa JF wakutanishwe katika uwanja mmoja.

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,952
Imagine
Vuta taswira

Siku itokee mamilioni ama ma elfu ya watumiaji wote wa jamiiforums wote tukutanishwe sehemu moja na kufahamiana.

Nani ungependa kumjua na kwanini?

Nani hutaki kukutana naye hata kwa bahati mbaya[emoji3]?
 
Kuna member humu wanadai wapo states na Europe wakati wapo hapahapa bongo Kigogo Mburahati,Buza,Tandale kwa Tumbo n,k.
Wengine hapa jf na stori za kudrive na story za kumiliki michuma ya nguvu,kumbe cheche uwongo mtupu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] wengine ni wazee wa shoo shoo.. Kumbe hamna kitu
 
Mtu anatoa uzi analalamika anatafuta ajira na maisha yake magumu hana kazi.
Alafu mtu huyouyo kwenye uzi mwingine wa kuhusu magari siku mbili za nyuma,alicoment anataka kununua brevis,anauliza kuagiza kutoka japan mpaka kufika bongo ni shilingi ngapi.
Wabongo sisi kwenye maisha ya kuigiza atujambo kwakweli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna member humu wanadai wapo states na Europe wakati wapo hapahapa bongo Kigogo Mburahati,Buza,Tandale kwa Tumbo n,k.
Wengine hapa jf na stori za kudrive na story za kumiliki michuma ya nguvu,kumbe cheche uwongo mtupu.

😹😹😹😹😹😹wanatafuta pisi Za kuzila kimasihara
 
[emoji23][emoji23]
 
Wengine huwa wanautetemesha umaskini walionao..😂
 
Mara moja moja tunajaribu kuushtua umaskini ujue mda wake wa kukaa ni mfupi sana...
 
Kuna avatar hutoamini utakapo kutana nazo unaweza ukazimia mwaka mzima, utashangaa kitoto cha mwaka 2005 kinamtukana kijana wa kale wa mwaka 1960,
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Kuna member humu wanadai wapo states na Europe wakati wapo hapahapa bongo Kigogo Mburahati,Buza,Tandale kwa Tumbo n,k.
Wengine hapa jf na stori za kudrive na story za kumiliki michuma ya nguvu,kumbe cheche uwongo mtupu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kilichonileta hapa ni kusoma comments tu basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…