Watumiaji wa pikipiki haojue express

Watumiaji wa pikipiki haojue express

Chief Wingia

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
2,653
Reaction score
4,744
Habarini wakuu.
Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa kuhusu pikipiki hii;
1. Uimara wa chasis yake na body kwa ujumla
2. Upatikanaji wa spare zake
 
Habarini wakuu.
Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa kuhusu pikipiki hii;
1. Uimara wa chasis yake na body kwa ujumla
2. Upatikanaji wa spare zake
Haojue ni pkpk delicate, haina mitetemo ki vile na ni luxury ya pili ikianza boxer!

Haihitaji mikikimikik saaaana.! Abiria wanaipenda kwa sababu ni fupi yaani wakati wa upandaji haichani suluali au kufunua sket za wadada ukilinganisha na boxer au tvs.
 
Luxury namba moja ni TVS, ndo zinafatia hizo nyingine
Asikudanganye mtu aisee, nimeitumia tvs kwa miaka 2 lkn ni miongoni mwa pkpk nisiyo ipenda.

Ina mitetemo na haina nguvu bora kinglion au sunlg tu.

Ukitaka kujua vuta mafuta utasikia mpaka mabamba yanapiga kelele tofauti na boxer au houjue

Ubora wa tvs ni matumizi madogo ya mafuta na ni ngumu.
 

Attachments

  • XPRESS-M-1.png
    XPRESS-M-1.png
    112.5 KB · Views: 95
Back
Top Bottom