Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Ngoja niweke picha mana hata sijui ni model gan mkuuIko poa sana chukua. Unachukua model gani?
Chukua haojue mninga chuma cha kazi, spea zipo na inatengenezekaHabarini wakuu.
Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa kuhusu pikipiki hii;
1. Uimara wa chasis yake na body kwa ujumla
2. Upatikanaji wa spare zake
Haojue ni pkpk delicate, haina mitetemo ki vile na ni luxury ya pili ikianza boxer!Habarini wakuu.
Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa kuhusu pikipiki hii;
1. Uimara wa chasis yake na body kwa ujumla
2. Upatikanaji wa spare zake
Luxury namba moja ni TVS, ndo zinafatia hizo nyingineHaojue ni pkpk delicate, haina mitetemo ki vile na ni luxury ya pili ikianza boxer!
Haihitaji mikikimikik saaaana.! Abiria wanaipenda kwa sababu ni fupi yaani wakati wa upandaji haichani suluali au kufunua sket za wadada ukilinganisha na boxer au tvs.
Pamoja sana mkuuHaojue ni pkpk delicate, haina mitetemo ki vile na ni luxury ya pili ikianza boxer!
Haihitaji mikikimikik saaaana.! Abiria wanaipenda kwa sababu ni fupi yaani wakati wa upandaji haichani suluali au kufunua sket za wadada ukilinganisha na boxer au tvs.
Tatizo TVS ikianza kusumbua bei ya spare zake ipo juuLuxury namba moja ni TVS, ndo zinafatia hizo nyingine
Mkuu hizo Yamaha na Honda tunaziona sana tatizo ni pesaKipikipi za kichina na kihindi haujanioandisha bora nikomae na lieskudo langu
Mie najua pikipiki ni Yamaha na Honda
JF billionaires.Kipikipi za kichina na kihindi haujanioandisha bora nikomae na lieskudo langu
Mie najua pikipiki ni Yamaha na Honda
Asikudanganye mtu aisee, nimeitumia tvs kwa miaka 2 lkn ni miongoni mwa pkpk nisiyo ipenda.Luxury namba moja ni TVS, ndo zinafatia hizo nyingine
Iko poa sana chukua. Unachukua model gani?
Job kuna mfanyakazi anayo. Ukiwa tayari utasema nikupe namba ongea nae akupe mazuri na mabaya yake. Hana noma.Mkuu hizo Yamaha na Honda tunaziona sana tatizo ni pesa