Watumiaji Wa Sigara tukutane hapa

Darcityconfidential

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
351
Reaction score
367
Habari za Muda huu Wakuu,

Binafsi nina Addiction ya uvutaji Sigara. Wale wenye addiction ya uvutaji wa Sigara tubadilishane mawazo na tupeane maujanja na kujuzana aina mbali mbali za Sigara na flavor zake.

Personally huwa navuta most of cigarettes isipokuwa zenye sweet menthol kutokana na mahali nilipo na Upatikanaji wa Sigara kwa Muda huo.

Karibuni.
 
Wavutaji wa sigara wote ni mataahira wanaambiwa ina madhara lakini bado wanavuta
Sivuti Sigara, ila wewe ulie na akili timamu, ulitakiwa kuonyesha, kuwa unaakili timamu,
kwa kuwashauri, kwa maneno mazuri. Ila unapowaita matahira wakati ni watu wenye akili timamu, Wanaendesha mipango yao vizuri, na wengine wamefanikiwa zaidi yako. Wachina %80 wanavuta Sigara.
Maprofesa, Madaktari, Walimu, na Watalaam wa fani mbali mbali wanavuta sigara.
Unajua, Uji ukiuita Maziwa pale wewe utaonesha dalili za utahira, Sasa wewe wavuta sigara, kuwaita matahira, huku ikijulikana ni watu na akili zao, Sijui tahira ni nani kati yako na wao.
 
We unaambiwa kitu fulani sumu bado unatumia ile haina sijui utumie Kidogo kama bia Wanakwambiaje'ONYO UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO'mtu ambaye haelewi tunamfananisha na taahira nimetumia neno hili kumaanisha mtu asiyeelewa
 
Anzeni kujipanga namna ya kukabiliana Na kansa ya mapafu
 
Uvutaji wa sigara umenikumbusha enzi za kujanjaruka aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…