Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Wakuu Mimi natumia Sim Card Moja tu kufanya Mawasiliano yangu yote, Pamoja na Kuwa simu yangu ina Support dual sim na Ina Esim capability ila still bado naona Furaha Kutumia Line Moja tu at a time, naona Hii pia inaipa simu yangu efficiency fulani
Simu yangu ina Line 6 ambazo ni Esim almost zote na Physical chip moja ila Huwa nawasha Just line moja at a time unless huo mtandao uwe unachangamoto kwa siku husika
Simu yangu ina Line 6 ambazo ni Esim almost zote na Physical chip moja ila Huwa nawasha Just line moja at a time unless huo mtandao uwe unachangamoto kwa siku husika