Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Ni cha kuagizishia tu, nimejaribu ku google naona mtu mmoja aliwahi kuilist kwenye grop za fb basi, sehemu nyengine zote hakuna.Mkuu wapi naweza napata hiki kifaa, Nimezunguka kkoo sijafanikiwa..Naona kina sifa zote Cat 11.View attachment 1838489
e5787s-33a naona ina specs zote, E5787ph-67a siielewi baadhi ya site sioni 800.Kati ya Huawei e5787s-33a na E5787ph-67a ipi inafaa kwa mitandao yetu maana ya kwanza ina frequency band aina nyingi(intra band continuation) ila sijaona features za MIMO na nyingine ina FDD700/1800/2100/2600 na MIMO
Cat 6 zitaweza kuhimili heavy Gaming nikiwa na stream.!?...Nataka ku overcome changamoto ya server zilizokua mbali, speed ya 600mbps inaweza punguza makali ya ping kubwa zinazoleta input delayNi cha kuagizishia tu, nimejaribu ku google naona mtu mmoja aliwahi kuilist kwenye grop za fb basi, sehemu nyengine zote hakuna.
Sema pia Angalia bei ikizidi sana Angalia professional Router za WiFi 6.
Uishi miaka mingi chief [emoji120]e5787s-33a naona ina specs zote, E5787ph-67a siielewi baadhi ya site sioni 800.
Haitakusaidia Mkuu, Tafuta tu isp mzuri hasa Mtandao wa Voda. Hata kama itasaidia ni kidogo sana.Cat 6 zitaweza kuhimili heavy Gaming nikiwa na stream.!?...Nataka ku overcome changamoto ya server zilizokua mbali, speed ya 600mbps inaweza punguza makali ya ping kubwa zinazoleta input delay
Mainly natumia SA servers napata 90-120ms, natumia Huawei Router ndogo na Best ni Voda... Sijafanya testing yoyote kwa CAT 6.Haitakusaidia Mkuu, Tafuta tu isp mzuri hasa Mtandao wa Voda. Hata kama itasaidia ni kidogo sana.
Unapata ping ngapi kwa USA Server?
Kibongo bongo si ping mbaya kusema kweli.Mainly natumia SA servers napata 90-120ms, natumia Huawei Router ndogo na Best ni Voda... Sijafanya testing yoyote kwa CAT 6.
Fiber hainifai, kutokana na nature yangu sio kusettle sehem moja. Ndio maana nikaomba unipe experience kati ya hizo router mbili ipi itasaidia
Natumia Wired (tethering) Wifi inaleta same ping ila kunakua na speedup lags... Natumia simu ya 4G za kawaida sio advanced na results sio nzuri uki compare na routerKibongo bongo si ping mbaya kusema kweli.
Una simu nzuri? Jaribu kujipa internet na simu kupitia usb tethering uone kama utapata speed nzuri.
Pia hio router ya sasa Jaribu kuconnect na USB cable ama ethernet badala ya wifi inasaidia ms kadhaa
Tatizo ndo hujui hizo delay ni za router ama voda wenyewe ama server huko.Natumia Wired (tethering) Wifi inaleta same ping ila kunakua na speedup lags... Natumia simu ya 4G za kawaida sio advanced na results sio nzuri uki compare na router
Bado siamini hizi ping, coz sometimes Delay na sluggish ni kubwa kama 1000ms hasa daytime
Kweli kabisa, inaweza kuwa upande wa pili..ila naona bora nijihami.Tatizo ndo hujui hizo delay ni za router ama voda wenyewe ama server huko.
Sio mbaya Mkuu uki invest kwa baadae, router ni muhimu kuwa nayo.
Hvi hzi oneplus zote ni flagships???Line yoyote ya kawaida na kifurushi ni cha usiku saa 6 mpaka 12 asubuhi.
Simu nimezisort kwa soc ambazo bei zake si ghali sana laki 5 kushuka
Phone Finder results - GSMArena.com
Phone Finder results - GSMArena.com
Phone Finder results - GSMArena.com
Na kwa mimi ninayoikubali ni oneplus 5/5t zimeshuka bei sana siku hizi around $200 na zina specs nzuri.
Mbona samsung note 9 yangu sijaona hpo?? Au kwa kuwa inatumia exynos soc??Line yoyote ya kawaida na kifurushi ni cha usiku saa 6 mpaka 12 asubuhi.
Simu nimezisort kwa soc ambazo bei zake si ghali sana laki 5 kushuka
Phone Finder results - GSMArena.com
Phone Finder results - GSMArena.com
Phone Finder results - GSMArena.com
Na kwa mimi ninayoikubali ni oneplus 5/5t zimeshuka bei sana siku hizi around $200 na zina specs nzuri.
Ndio ilivyokuwa ila siku hizi wametoa midrange na lowend Kuna oneplus mpaka za chini ya laki 3.Hvi hzi oneplus zote ni flagships???
Naona bei zake zinakuwaga mkasi mnoo
Kwa kipindi na andika hio comment note 9 ilikuwa ni simu ya bei ghali. Kama unanunua simu kwa ajili ya network speed nzuri flagship za 2017 zina make sense zaidiMbona samsung note 9 yangu sijaona hpo?? Au kwa kuwa inatumia exynos soc??
Zote mkuu ni nzuri nimeziangalia ni za kisasa na zina vigezo muhimu vyote.Chief-Mkwawa kati ya hizi product ipi ni more suitable kwa mazingira ya kwetu maana aina uliyonishauri kabla nililipia then nikaambiwa mzigo umeisha na hupatikani store nyingine
View attachment 1886767View attachment 1886768View attachment 1886769
Choice nzuri mkuu,Shukrani ngoja niende na mtoto wa nyumbani Huawei
Kinondoni kwa pinda hapa kanisani kabisa hananasif mmefika?Yes ni kweli boss, huduma ya zuku ni nzuri na ni bora kabisa kwa sasa, wateja wetu wengi wanaipenda mnoo, jamk
Mkuu karibu zuku fiber, changamoto tupo maeneo haya, masaki, msasani,kinondoni,upanga, kkoo na oysterbay. Internet ya uhakika na yenye kasi. Tuwasiliane.
Natamani nipate unlimited bundle msaaada wenu ata Jinsi ya kuanza kupata
Nimesoma comment nimekuta sielewi ki2
Sent using Jamii Forums mobile app