beth JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 3,880 Reaction score 6,368 Jun 1, 2020 #1 Wizara ya Afya imesema watumishi 7 wa sekta ya afya nchini humo wamethibitishwa kupata maambukizi ya COVID19 Waliopata Virusi hivyo ni manesi 3, madaktari 2, na wafanyakazi 2 wa ngazi ya juu. Kwa mujibu wa Wizara, wamelazwa Hospitali na wanaendelea vizuri Wataalamu wapo katika maeneo mbalimbali ambapo watumishi wamekutwa na COVID19 kuchunguza kilichopelekea wapate maambukizi Hadi sasa, Uganda imerekodi visa 417 vya Corona na waliopona wamefikia 72
Wizara ya Afya imesema watumishi 7 wa sekta ya afya nchini humo wamethibitishwa kupata maambukizi ya COVID19 Waliopata Virusi hivyo ni manesi 3, madaktari 2, na wafanyakazi 2 wa ngazi ya juu. Kwa mujibu wa Wizara, wamelazwa Hospitali na wanaendelea vizuri Wataalamu wapo katika maeneo mbalimbali ambapo watumishi wamekutwa na COVID19 kuchunguza kilichopelekea wapate maambukizi Hadi sasa, Uganda imerekodi visa 417 vya Corona na waliopona wamefikia 72
cutelove JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 3,448 Reaction score 7,972 Jun 1, 2020 #2 Hivi Tanzania hamna maambukizi.
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 11,557 Reaction score 33,535 Jun 1, 2020 #3 cutelove said: Hivi Tanzania hamna maambukizi Click to expand... Yapo ila serikali imeamua kutokutangaza habari mbaya na zakutisha ili watu waendelee kupiga kazi.
cutelove said: Hivi Tanzania hamna maambukizi Click to expand... Yapo ila serikali imeamua kutokutangaza habari mbaya na zakutisha ili watu waendelee kupiga kazi.
M Mbolabilika JF-Expert Member Joined Jul 30, 2019 Posts 2,128 Reaction score 2,867 Jun 1, 2020 #4 cutelove said: Hivi Tanzania hamna maambukizi Click to expand... Yapo Ila sio Kama inavyochukuliwa ,sote tunajua Kwenye hiki kinyang'anyilo bingwa wetu nani.
cutelove said: Hivi Tanzania hamna maambukizi Click to expand... Yapo Ila sio Kama inavyochukuliwa ,sote tunajua Kwenye hiki kinyang'anyilo bingwa wetu nani.
B Blac kid JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 6,686 Reaction score 7,497 Jun 1, 2020 #5 M7 bado anahangaika na hivi vijimafua visivyo weza kuua hata kifaranga cha kuku?
A Administer JF-Expert Member Joined Feb 9, 2020 Posts 1,271 Reaction score 1,604 Jun 2, 2020 #6 Blac kid said: M7 bado anahangaika na hivi vijimafua visivyo weza kuua hata kifaranga cha kuku? Click to expand... ACHA DHARAU, KWANI HAKUNA WATU WALIOKUFA KWA COVID 19?
Blac kid said: M7 bado anahangaika na hivi vijimafua visivyo weza kuua hata kifaranga cha kuku? Click to expand... ACHA DHARAU, KWANI HAKUNA WATU WALIOKUFA KWA COVID 19?