A Anonymous Guest Mar 15, 2026 #1 Sisi ni ajira mpya Halmashauri ya Ubungo, hatujalipwa pesa zetu za kujikimu tokea mwezi wa 6 mwaka jana (2025). Tumejaribu kuafuatilia sana kwenye ofisi za Halmashauri husika, pasipo kupata majibu sahihi kuwa ni lini watatulipa pesa zetu.
Sisi ni ajira mpya Halmashauri ya Ubungo, hatujalipwa pesa zetu za kujikimu tokea mwezi wa 6 mwaka jana (2025). Tumejaribu kuafuatilia sana kwenye ofisi za Halmashauri husika, pasipo kupata majibu sahihi kuwa ni lini watatulipa pesa zetu.
mwaibile JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 2,136 Reaction score 5,175 Mar 15, 2026 #2 Vp mkuu halimashauri vp hali ikoje huko mtu ukija halimashauri kuna kutoboa kweli nn ushauli wako kwa vijana wanataka kuja huko please
Vp mkuu halimashauri vp hali ikoje huko mtu ukija halimashauri kuna kutoboa kweli nn ushauli wako kwa vijana wanataka kuja huko please