Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sio mji wa kawaida ndugu yangu..chato ndiko alikozaliwa rais wa awamu ya tano.. Chuma JPM..Mungu amlaze mahali pema peponi...Hiv mbona inatumika nguvu kubwa sana kuifanya chato ionekane kuwa ni special place kumbe ni mji wa kawaida tu
kama ni hivyo butiama nako wafanye hivyo hivyo, kule alipotoka mkapa nako wafanye hivyo hivyo, kwa kina mwinyi nako wafanue hivyo hivyo.. kwa jk napo qafanye hivyo hivyo.Sio mji wa kawaida ndugu yangu..chato ndiko alikozaliwa rais wa awamu ya tano.. Chuma JPM..Mungu amlaze mahali pema peponi...
Lazima chato iwe special kwasababu imemtoa amiri jeshi mkuu..kupata hii bahati si mchezo ndugu yangu..
Chato lazima iwe maalumu, ni mji wa kwanza kutoa Rais aliyekufa akiwa madarakani Afrika Mashariki na katiSio mji wa kawaida ndugu yangu..chato ndiko alikozaliwa rais wa awamu ya tano.. Chuma JPM..Mungu amlaze mahali pema peponi...
Lazima chato iwe special kwasababu imemtoa amiri jeshi mkuu..kupata hii bahati si mchezo ndugu yangu..
Ndio hivyo..hiyo Ni miji muhimu Sana kwa historia ya nchi yetukama ni hivyo butiama nako wafanye hivyo hivyo, kule alipotoka mkapa nako wafanye hivyo hivyo, kwa kina mwinyi nako wafanue hivyo hivyo.. kwa jk napo qafanye hivyo hivyo.
nothing special. Ndio maana Mwalimu J.K Nyerere aliishi maish decent even after madaraka. angeweza kuifanya butiama very special place.. why hakufanya?Ndio hivyo..hiyo Ni miji muhimu Sana kwa historia ya nchi yetu