Mwalimu aliacha kazi serikalimi takribani miaka mitano sasa na alivyoacha punde tu alikatiwa mshahara baada ya hapo akaomba ajira moevt akapata na amesharipoti na kuanza kazi kituo kipya sasa katika suala la mshahara akaonokana bado yupo kwenye pay roll na amefanikiwa kumuona mkurugenzi wake wa zamani ili kuhamisha data sheet sasa kule masijala wanadai faili halipo (faili halikuonekana masijala) utaratibu ukoje msaada tafadhali