Watumishi kupanda madaraja August na September

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
WATUMISHI WENGI TANZANIA WANATARAJIA KUPANDA MADARAJA KATI YA MWEZI AGOSTI NA SEPTEMBA 2018 BAADA YA KUSUBIRIA SIKU NYINGI.

Baada ya ufuatiliaji wa kina imegundulika kuwa watumishi wengi hawajapanda madaraja kwa muda mrefu na kero hii imesikiwa na kufanyiwa kazi,hivyo kwa taarifa hii watumishi wanaombwa kuhakikisha wanawasilisha nyaraka zao muhimu tayari kwa taratibu zote za upandishwaji madaraja..NOTE-Hakuna mtumishi ambaye hatapanda daraja iwapo taratibu zote zitakamilika...
Hivyo basi kwa kuanzia serikali imeona ni vyema ikaanza na wale watumishi wanaotokea makutano ya Tazara maana daraja lipo kwenye hatua za mwisho,serikali inapenda kuwakumbusha kwamba inapaswa wawe na barua toka kwa mkuu wa usalama barabarani kanda ya temeke kwa maana hataruhusiwa mtu kupanda daraja la Tazara mpaka awe na barua hiyo muhimu kabisa,hivyo basi manombwa kuwa wavumilivu kwa kuwa mwezi wa septemba daraja linazindliwa rasmi na mheshimiwa rais hivyo itakuwa raisi kwenu kuongozana nae KUPANDA DARAJA.

Serikali pia haijawasahau watumishi wa kigamboni maana imekwisha kutoa ruksa na kibali maalumu kwa watumishi wa wilaya mpya ya kigamboni na viunga vyake KUPANDA DARAJA LA KIGAMBONI na kupiga picha kwa ukumbusho.

Kwa wale watumishi wa wilaya mpya ya ubungo mnaombwa kuwa wavumilivu maana daraja la makutano ya ubungo mataa lipo kwenye mchakato wa kujengwa hivyo mnaombwa kuwasilisha nyaraka muhimu kwa wahusika ili kitakapo kamilika muwe wa kwanza KUPANDA DARAJA LA UBUNGO...serikali inawaomba radhi watumishi wake kwa kuwacheleweshea KUPANDA DARAJA.

Mwisho kabisa mnakumbushwa kwamba kwa wale watumishi mliopo mkoani tuna madaraja yafuatayo mnayoweza kwenda kupanda na mkarejea kuendelea na kazi mkiwa na ari mpya na kasi mpya:-
MADARAJA NI KAMA IFUATAVYO:'

1.DARAJA LA FURAHISHA
2.DARAJA LA MKAPA

**Mliopanda madaraja mnaombwa kupiga kazi kwa nguvu zenu zote maana watanzania wanawategemea sana..

TUWATAKIE UTENDAJI MWEMA
 
Utawalawa wa jiwe hauamini unaweza kushanga MTU anapanda daraja lakini mshahara haupandi au inaongezeka elfu mbili
Eti tunabana matumizi
 
Wewe ni mwehu.
 
Hahahaaah watu mna utani wa ngumi walahi
 
Dhalimu-udhalimu- mdhalimu-aliyejaa udhalimu-kiburi- aliyejaa kiburi. Atatolea hesabu kila wazo, tendo na neno lake.
Lililotukuka kwa wanadamu kwa Mungu ni chukizo. Let us keep quite.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii ambayo inawakandamiza
 
Back
Top Bottom