Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
Husika na mada tajwa hapo juu,
Kwanza naipongeza serikali ya awamu ya 6 kwa kuleta huu mfumo wa uhamisho kwa Watumishi wa umma kwasabu umerahisisha huduma na kuondoa urasmu kwa Watumishi.
Pili. Ni vema kwa wale ambao wanafanikiwa kuhama kwa njia ya Mfumo wa ESS basi wakawa wanawashuhudia wengine ili wapate matumaini na kupunguza, Threads za kulalamika humu kwenye forum yetu pendwa ya JamiiForums.
KAZI IENDELEE 🇹🇿
Pia soma=> DOKEZO - Mfumo wa Mtandao kuomba uhamisho Serikalini ni tatizo, unatakiwa kuboreshwa