Kwanza naipongeza serikali ya awamu ya 6 kwa kuleta huu mfumo wa uhamisho kwa Watumishi wa umma kwasabu umerahisisha huduma na kuondoa urasmu kwa Watumishi.
Pili. Ni vema kwa wale ambao wanafanikiwa kuhama kwa njia ya Mfumo wa ESS basi wakawa wanawashuhudia wengine ili wapate matumaini na kupunguza, Threads za kulalamika humu kwenye forum yetu pendwa ya JamiiForums.
Kazi ya mfumo ni kurahisisha kazi lakini huu mfumo unalalamikiwa kwa Mambo ambayo yangefanywa kirahisi manyuali.
Wahusika wajiongeze, wawasisubiri watumbuliwe.
Kazi ya mfumo ni kurahisisha kazi lakini huu mfumo unalalamikiwa kwa Mambo ambayo yangefanywa kirahisi manyuali.
Wahusika wajiongeze, wawasisubiri watumbuliwe.