A Anonymous Guest Feb 6, 2026 #1 Watumishi walioajiriwa mwaka 2024, Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani hawajalipwa pesa ya kujikimu hadi sasa 2026. Pia soma ~ Mkuranga DC wametulipa Fedha za Kujikimu sisi Ajira Mpya
Watumishi walioajiriwa mwaka 2024, Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani hawajalipwa pesa ya kujikimu hadi sasa 2026. Pia soma ~ Mkuranga DC wametulipa Fedha za Kujikimu sisi Ajira Mpya
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Feb 9, 2026 #2 Poleni sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Cc: Mahondaw
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,348 Reaction score 15,205 Mar 10, 2026 #3 Kombo ni kirusi hapo Mkuranga. Madudu yote yakiwemo ya kumpiga chini mkandarasi wa shule ya amali (ufundi) kanda ya Mashariki -Kizapala,na kuzuia malipo kwa wakandarasi, yatakutokea puani.
Kombo ni kirusi hapo Mkuranga. Madudu yote yakiwemo ya kumpiga chini mkandarasi wa shule ya amali (ufundi) kanda ya Mashariki -Kizapala,na kuzuia malipo kwa wakandarasi, yatakutokea puani.
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,394 Reaction score 16,128 Mar 10, 2026 #4 Kwa nini amezuia malipo ya mkandarasi