Watumishi Sant Clara wangaliwe, watakuja kuua

Watumishi Sant Clara wangaliwe, watakuja kuua

Torra Siabba

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
243
Reaction score
287
Jamani siku moja nilienda Katika Hospitali ya Sant Clara ambayo iko Mkolani Jijini Mwanza kwaajili ya Matibabu ya Mke wangu, baada ya kufika tulianzia mapokezi ambapo tuliandikiwa vitu vya kufanya tulianza na vipimo, tukapima vyoote tukamaliza, baadae tukaruhusiwa kwenda nyumbani salama kabisa.

Baadaye tulirejea tena katika Hospitali hiyo kuendelea na Kliniki ambapo kama mnavyojua kila mwezi wakati tunahudumiwa mkewangu akaandikiwa dawa, yule Ness tukamuuliza saaa hizi anatumiaje? Akasema Mimi najali mshahara wangu mengine sijali sasa kwa kauli hii tena mbele ya Mgonja unajifunza nini?

Hii inamaanisha kwamba pengine Nesi wa Aina hii akikuta mgonjwa Yuko Mahtuti ataona anamsumbua na kumuacha afe, hivyo Waajiri katika hispitali hii muliangalie.maana mimi.binafsi niliamua kumhamisha mke wangu kufanya kliniki hapo.
 
Sasa nurse mmoja tu ndio anakufanya uje uandike uzi? Kama ana stress za mapenzi au maisha siku hiyo..?
 
Back
Top Bottom