Watumishi tulieni, tunawaingizia Annual Increments zenu

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Ahahahaha
Tumieni vizuri hizo annual increment, msimalize kwenye ulevi na zinaa.
Nunueni hata tukuku mle, inakuwaje mtumishi unamaliza miezi 6 hujala kuku wa kienyeji😭😭😭
 
DP-World katoa Shavu kwa Watumishi Nini? ili kupaka mafuta makubaliano yake yaharakishwe!
 
Ahahahaha
Tumieni vizuri hizo annual increment, msimalize kwenye ulevi na zinaa.
Nunueni hata tukuku mle, inakuwaje mtumishi unamaliza miezi 6 hujala kuku wa kienyeji😭😭😭
Eti kuku wa kienyeji 😂. Hawa ni watumishi wa local government ndio unawaponda hivi mkuu
 
Ahahahaha
Tumieni vizuri hizo annual increment, msimalize kwenye ulevi na zinaa.
Nunueni hata tukuku mle, inakuwaje mtumishi unamaliza miezi 6 hujala kuku wa kienyeji😭😭😭
Mnaziingiza wapi
 
Akaunti Bado haijasoma
Karibu CRDB, mapema sana jana saa tatu usiku. Ilibidi nirudi pale bar nikafute aibu kwa yule kuku wa kienyeji, sasahivi ndio nafika nyumbani nijiandae kwenda kibaruani.
 
Back
Top Bottom