BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Ndugu zangu na washikaji zangu ambao upepo wa kupanda daraja ulituacha mwezi uliopita japo tulistahili, tusipopanda mwezi huu tufanyaje? Tulioanza nao kazi na tuliowapita sasa wana mishahara mikubwa zaidi yetu japo elimu ni moja.