BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
evaluation ipo. Tunajaza Opras za utumishi kila mwaka, kuna wakaguzi kila robo mwaka. Kila kitu kipo sawa, upande wa mwajiri ndio unatuangusha.Hivi huko hamfanyiwi evaluation kama unashahili kupanda cheo. Maana naona kila mtu ni lazima apande cheo!
Mama anaupiga mwingi balaaNdugu zangu na washikaji zangu ambao upepo wa kupanda daraja ulituacha mwezi uliopita japo tulistahili, tusipopanda mwezi huu tufanyaje? Tulioanza nao kazi na tuliowapita sasa wana mishahara mikubwa zaidi yetu japo elimu ni moja.