Asanteeeeeee kwa shukurani kwa mh Rais maana mmetambua juhudi kubwa anazozifanya katika kuboresha maisha ya watanzania mkiwemo nanyi watumishi wa imma, kikubwa endeleeni kufanya kazi kwa bidii na weledi katika kuwatumikia watanzania kwa kutoa hudumu Bora na stahiki, serikali Ina Imani kubwa nanyi na ndio maana unaendelea kuwajari kila uchumi unaporuhusu kufanya hivyo