ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ni moto kila idara na njaa, sio kawaida tunakwenda robo ya pili ya mwaka wa fedha hakuna activities zinakwenda. Kilichobaki ni kukopwa tu kazi hawatoi posho zaidi ya hela ya mafuta, nayo itakata.
Amkeni, amkeni, hamasisheni watu walipe kodi la sivyo mtachanganyikiwa muda sio mrefu kwa madeni, hampati chochote hata cha kufukia mashimo.
Hawasemi ukweli, wanasema makusanyo ni mazuri lakini hali halisi inaonekana kitaa.