mgombea uvccm2017
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 505
- 376
Survivoral for the fittestKuna wimbi jipya hapa mjini linaniacha nacheka sana
Biashara imekuwa ngunmu sana na mzunguko wa pesa ni mdogo hivyo wafanyabiashara wengi wameanza kufunga baadhi ya biashara zao na kurudisha flem kwa wamiliki
Cha ajabu baada ya posho na safari kupigwa panga huko serikalin watumishi viakiba walivyokuwa navyo wamekimbilia kuchukua flem na kufungua biashara
Hahaha!! Nyie watumishi taratibu jaman! Ulizieni kwanza hali ilivyo huku kitaa msije ingia kichwakichwa mkajikuta mmepoteza akiba zenu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wakuu wa Mikoa wanawafukuza kazi,wakuu wa wilaya wanawatimua kazi,mawaziri ndio usiseme yaani watumishi wa umma mwaka huu mtaisoma namba.
Zamani ilikuwa kazi yenye security ya uhakika ni serikalini lakini sasa hali yake ni kama swala ndani ya mbuga ya mikumi.Wakuu wa Mikoa wanawafukuza kazi,wakuu wa wilaya wanawatimua kazi,mawaziri ndio usiseme yaani watumishi wa umma mwaka huu mtaisoma namba.
Zamani ilikuwa kazi yenye security ya uhakika ni serikalini lakini sasa hali yake ni kama swala ndani ya mbuga ya mikumi.
Sasa hivi hata uwe mwadilifu kiasi gani lakini kama kiongozi wako upepo na wewe hauvumi basi anakuwinda tuu, ukiteleza hakuna cha onyo ni kukutumbua tuu
Ha ha ha haaa, khaa..! Hatari tupu.Watumishi wa serikali Kwa sasa sisi tegemeo letu Ni Mungu tu hatuna ujanja tena.
No security tena na usipojiangalia Hata mlinzi wa getini anaweza kukutimua tu Kama akiachiwa maagaizo anakutimua kazi tu Mwe! [emoji57][emoji57]
Ahahaha hawajawaingizia tuu?Nasikia vichenji vyetu ndio vimeagiziwa sukari teh
Sijui asee make sijaangalia salio, nimetii tangazo 😀Ahahaha hawajawaingizia tuu?