Watumishi wote wamearifiwa kuwa kesho tarehe 7. 10. 2021 kuanzia saa 6 mchana kutakuwa na utoaji wa Chanjo ya Uviko-19 kwa watumishi wa TBC 1 na tarehe 8. 10. 2021 kuanzia saa 6 mchana Chanjo hiyo itatolewa kwa Watumishi wa TBC BH.
Wameombwa kujitokeza kwa wingi kuchoma Chanjo hiyo ili kuepukana na madhara yanayotokana na Ugonjwa wa Uviko 19.