Watumishi wa uma si mmeongezewa mshahara sasa lipeni madeni yetu.

Watumishi wa uma si mmeongezewa mshahara sasa lipeni madeni yetu.

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Ndugu zetu watumishi wa uma, kwanza niwapongeza kwa kuongezewa mshahara, ombi langu kwenu lipeni basi madeni yetu tuliyowakopesha kipindi mnapitia katika hali mbaya. Ahsanteni

Sisi wa sekta binafsi tutapambana na mabosi zetu, ikishindikana basii.
 
Kwani alikuambia atalipa akiongezewa mshahara.? Kama ni hivyo mtafute akulipe, sio kila mtumishi wa umma ana madeni
 
Mimi naomba hao, unaowadai asikulipe hata mmoja, Lengo lako ni kuwadhalilisha watumishi wote.
Yaani umdai mtu mmoja, sababu ameajiliwa serikalini au halmashauri, basi ndiyo iwe sababu ya kuwadhalilisha watumishi wote wa uma.
 
Ndiyo nilikuwa napigania walipwe ili wanilipe.Inshaallah wanajitahidi.Mnyaazi Mola awape kheri!
 
Ndugu zetu watumishi wa uma, kwanza niwapongeza kwa kuongezewa mshahara, ombi langu kwenu lipeni basi madeni yetu tuliyowakopesha kipindi mnapitia katika hali mbaya. Ahsanteni

Sisi wa sekta binafsi tutapambana na mabosi zetu, ikishindikana basii.
Umewakopesha watumishi wangapi kiasi cha kuja kuwanzishia uzi? Tuanzie hapa kwanza.
 
Sawa mkuu wengine wapo humu humu, wakiteta ubishi nawataja majina na Id zao
Halafu usikute hapo ulipo ni mtoto tu wa mama! Unagongea mpaka bando!

Ila umeona na wewe uje uonekane humu jukwaani. Na ndiyo maana hata maelezo yako tu yanajichanganya.
 
Ndugu zetu watumishi wa uma, kwanza niwapongeza kwa kuongezewa mshahara, ombi langu kwenu lipeni basi madeni yetu tuliyowakopesha kipindi mnapitia katika hali mbaya. Ahsanteni

Sisi wa sekta binafsi tutapambana na mabosi zetu, ikishindikana basii.
Mkuu Niko mwisho mwisho wa kukamilisha taratibu zote za kuwalipia madeni watumishi wote. Ila nimewaomba isizidi shilingi billion 250. Ikizidi hapo nasitisha mara Moja zoezi hili.

Nimeamua kujitwika zigo hili la mavi kuwasaidia the 'less unfortunate' watanzania wenzangu kwasababu hamna namna hela zangu zimekaa kizembeeee tu.
 
Back
Top Bottom