Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Sawa mkuu wengine wapo humu humu, wakiteta ubishi nawataja majina na Id zaoOngea na uliye mkopesha akulipe hapa jf hutapata pesa zako.
Huna unaye mdai humu. Acha kujikweza usije kushushwaSawa mkuu wengine wapo humu humu, wakiteta ubishi nawataja majina na Id zao
Sawa mkuuHuna unaye mdai humu. Acha kujikweza usije kushushwa
Umewakopesha watumishi wangapi kiasi cha kuja kuwanzishia uzi? Tuanzie hapa kwanza.Ndugu zetu watumishi wa uma, kwanza niwapongeza kwa kuongezewa mshahara, ombi langu kwenu lipeni basi madeni yetu tuliyowakopesha kipindi mnapitia katika hali mbaya. Ahsanteni
Sisi wa sekta binafsi tutapambana na mabosi zetu, ikishindikana basii.
Halafu usikute hapo ulipo ni mtoto tu wa mama! Unagongea mpaka bando!Sawa mkuu wengine wapo humu humu, wakiteta ubishi nawataja majina na Id zao
SawaHalafu usikute hapo ulipo ni mtoto tu wa mama! Unagongea mpaka bando!
Ila umeona na wewe uje uonekane humu jukwaani. Na ndiyo maana hata maelezo yako tu yanajichanganya.
Sawa maana yake nini?Umekubali au umeonewa?Jieleze.Sawa
Mkuu Niko mwisho mwisho wa kukamilisha taratibu zote za kuwalipia madeni watumishi wote. Ila nimewaomba isizidi shilingi billion 250. Ikizidi hapo nasitisha mara Moja zoezi hili.Ndugu zetu watumishi wa uma, kwanza niwapongeza kwa kuongezewa mshahara, ombi langu kwenu lipeni basi madeni yetu tuliyowakopesha kipindi mnapitia katika hali mbaya. Ahsanteni
Sisi wa sekta binafsi tutapambana na mabosi zetu, ikishindikana basii.