The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Kwa mujibu wa maelezo ya Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof.Kitila Mkumbo,Nchi ya Tanzania Ina Jumla ya Watumishi wa Umma 586,000 ambao wanafanya kazi kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wa Serikali.
1. Wizara na Idara(Serikali Kuu)
2. Mamlaka ya Serikali za Mitaa
3. Mashirika na Taasisi za Umma
4. Sekretarieti za Mikoa
Inasikitisha kuona idadi hii ya Watumishi wachache imebebeshwa mzigo la Kuhudumia Mamilioni ya Watanzania ambao ni Zaidi ya Milioni 65.
Pamoja na mzigo huu mkubwa waliobebeshwa Watumishi wa Umma,inashangaza na kusikitisha kwamba Wamekuwa wakinyanyaswa na kudharirishwa na Wanasiasa bila kujali mchango wao mkubwa na maumivu wanayopata kwenye kazi zao.
Mbaya zaidi inashangaza kuona Watumishi Hawa wachache wa Umma wanalipwa Mishahara kidogo saaana kiasi kwamba haikodhi hata nusu ya mahitaji Yao ya msingi.
Aidha Kwa bahati mbaya Wanasiasa wapuuzi wawewaminisha Wananchi kwamba watu Hawa ni wezi na Wana maisha mazuri na ya anasa wakati uhalisia sio kweli na Kila mmja anaona Hali ya maisha Yao.
Kiukweli nimeshangaa sana kuona Serikali inashindwa Kuwalipa vyema Watumishi Hawa wachache kiasi hiki ambao wanaoendesha gurudumu la Uchumi wa Nchi hii kubwa.
Just imagine 2/3 ya Watumishi hao wote(60%) eti wanapata mshahara chini ya 500k lakini Bado wanakatwa na Kodi, very sad indeed 👇👇
My Take:
Ifike mahala Serikali itambue mchango mkubwa wa Watumishi wa Umma na iwaongezee Mishahara,stahiki zao na ikome kuwasumbua wanapostaafu Utumishi wa Umma. Pia soma Asilimia 60% ya Wafanyakazi wote wa Tanzania Wanalipwa chini ya Tsh. 500,000
Poleni sana Watumishi wa Umma.👇👇