The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
- Thread starter
-
- #21
Ni wale wachache wanaofanya udokozi hasa wenye vyeo lakini walio.kwenye kundi la 80% wako hoiPoleni Watanzania wenzetu ila watumishi hao hao kuna wanaoona wametoboa maisha
Hujaenda hospital, Watoto wako hawajapata chanjo,hujapita kwenye Barabara ambazo wao wameweka efforts nk? Wacha kuwa mpumbavuWote milioni 65 wanashida na ofisi ya Uma? Tangu mwaka umeanza cjafanya kazi na serikali.
KAZI ni kipimo cha UTU
Hao waliopo ni asilimia 46% tuu ya mahitaji ya Watumishi Nchini lakini nao Bado Serikali haiwajali Wala Kuwalipa vizuri licha ya kubebeshwa mzigo lote hili.Poleni sana, kumbe mpo wachache namna hii.
Watu wa hesabu mtuambie hapo kila mtumishi mmoja anahudimia watu wangapi.
Toa ujinga wako wewe Jamaa, uchumi wa Nchi unakua Kila uchao then wewe unaongea nini?Watumishi hawa hawa wanaotaka kuongezewa mishahara kila Mei mosi bila ya wao kuongeza ufanisi wa kazi zao ndio wamebebeshwa mzigo wa watu millioni 65?
Bc kama mnaona hamstahili kulipwa hy 500k acheni hizo kazi mkafanye zenye malipo mnayoitakaToa ujinga wako wewe Jamaa, uchumi wa Nchi unakua Kila uchao then wewe unaongea nini?
Kwako wewe Watumishi waliobebeshwa Hilo mzigo unaona wanastahili kulipa chini ya 500k?
Hao hawafiki hata 50% ya mahitaji.Hoja ya msingi mzigo waliobebeshwa unaendanaHili ni tatizo la kuangalia mambo kwa mafungu....,
Kwa vitendea kazi vilivyopo Je hao wanatosha au hizo kazi za administration zingeweza kufanywa hata na nusu ya idadi ya hao watu ?
Na katika huduma kama ualimu, udaktari n.k. hao watu wanatosha au bado wanahitajika (ratio) kwahio issue ni kuongezea mishahara au kuongezea watu ili wengi wapate huduma ambazo hawazipati ?
Utaona kwamba hapa huangalii root causes bali unataka ku band aid the leg which needs amputation..., Karne ya Automation na Sayansi na Teknolojia nguvu kazi haiitajiki tena kama kipindi cha utumwa au industrial revolution kwahio we need to think how to redistribute the wealth..., nguvu kazi ni nyingi kuliko uhitaji wa hio nguvu na kuwalipa mishahara hawa wachache waliopo wakati kuna wengi they can do for less is impractical with the current capitalism environment...
PunguaniBc kama mnaona hamstahili kulipwa hy 500k acheni hizo kazi mkafanye zenye malipo mnayoitaka
BabaakoPunguani
Hao kina nani na mzigo upi ?Hao hawafiki hata 50% ya mahitaji.Hoja ya msingi mzigo waliobebeshwa unaendana
Punguani baba akoPunguani
Kwani hiyo list hapo ni wafanyakazi wa serikali tu?Kwa mujibu wa maelezo ya Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof.Kitila Mkumbo,Nchi ya Tanzania Ina Jumla ya Watumishi wa Umma 586,000 ambao wanafanya kazi kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wa Serikali
1.Wizara na Idara(Serikali Kuu)
2.Mamlaka ya Serikali za Mitaa
3.Mashirika na Taasisi za Umma
4.Sekretarieti za Mikoa
Inasikitisha kuona idadi hii ya Watumishi wachache imebebeshwa mzigo la Kuhudumia Mamilioni ya Watanzania ambao ni Zaidi ya Milioni 65.
Pamoja na mzigo huu mkubwa waliobebeshwa Watumishi wa Umma,inashangaza na kusikitisha kwamba Wamekuwa wakinyanyaswa na kudharirishwa na Wanasiasa bila kujali mchango wao mkubwa na maumivu wanayopata kwenye kazi zao.
Mbaya zaidi inashangaza kuona Watumishi Hawa wachache wa Umma wanalipwa Mishahara kidogo saaana kiasi kwamba haikodhi hata nusu ya mahitaji Yao ya msingi.
Aidha Kwa bahati mbaya Wanasiasa wapuuzi wawewaminisha Wananchi kwamba watu Hawa ni wezi na Wana maisha mazuri na ya anasa wakati uhalisia sio kweli na Kila mmja anaona Hali ya maisha Yao.
Kiukweli nimeshangaa sana kuona Serikali inashindwa Kuwalipa vyema Watumishi Hawa wachache kiasi hiki ambao wanaoendesha gurudumu la Uchumi wa Nchi hii kubwa.
Just imagine 2/3 ya Watumishi hao wote(60%) eti wanapata mshahara chini ya 500k lakini Bado wanakatwa na Kodi,very sad indeed ππ
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1785669821759209982?t=8bznPufxnrFQhVna_t3pIQ&s=19
My Take:
Ifike mahala Serikali itambue mchango mkubwa wa Watumishi wa Umma na iwaongezee Mishahara,stahiki zao na ikome kuwasumbua wanapostaafu Utumishi wa Umma.Pia soma Asilimia 60% ya Wafanyakazi wote wa Tanzania Wanalipwa chini ya Tsh. 500,000
Poleni sana Watumishi wa Umma.ππ
View: https://twitter.com/CloudsMediaLive/status/1800789201027219817?t=r0Ic8O-OWCgcCRDfyfJing&s=19
Kwa mujibu wa maelezo ya Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof.Kitila Mkumbo,Nchi ya Tanzania Ina Jumla ya Watumishi wa Umma 586,000 ambao wanafanya kazi kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wa Serikali
1.Wizara na Idara(Serikali Kuu)
2.Mamlaka ya Serikali za Mitaa
3.Mashirika na Taasisi za Umma
4.Sekretarieti za Mikoa
Inasikitisha kuona idadi hii ya Watumishi wachache imebebeshwa mzigo la Kuhudumia Mamilioni ya Watanzania ambao ni Zaidi ya Milioni 65.
Pamoja na mzigo huu mkubwa waliobebeshwa Watumishi wa Umma,inashangaza na kusikitisha kwamba Wamekuwa wakinyanyaswa na kudharirishwa na Wanasiasa bila kujali mchango wao mkubwa na maumivu wanayopata kwenye kazi zao.
Mbaya zaidi inashangaza kuona Watumishi Hawa wachache wa Umma wanalipwa Mishahara kidogo saaana kiasi kwamba haikodhi hata nusu ya mahitaji Yao ya msingi.
Aidha Kwa bahati mbaya Wanasiasa wapuuzi wawewaminisha Wananchi kwamba watu Hawa ni wezi na Wana maisha mazuri na ya anasa wakati uhalisia sio kweli na Kila mmja anaona Hali ya maisha Yao.
Kiukweli nimeshangaa sana kuona Serikali inashindwa Kuwalipa vyema Watumishi Hawa wachache kiasi hiki ambao wanaoendesha gurudumu la Uchumi wa Nchi hii kubwa.
Just imagine 2/3 ya Watumishi hao wote(60%) eti wanapata mshahara chini ya 500k lakini Bado wanakatwa na Kodi,very sad indeed ππ
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1785669821759209982?t=8bznPufxnrFQhVna_t3pIQ&s=19
My Take:
Ifike mahala Serikali itambue mchango mkubwa wa Watumishi wa Umma na iwaongezee Mishahara,stahiki zao na ikome kuwasumbua wanapostaafu Utumishi wa Umma.Pia soma Asilimia 60% ya Wafanyakazi wote wa Tanzania Wanalipwa chini ya Tsh. 500,000
Poleni sana Watumishi wa Umma.ππ
View: https://twitter.com/CloudsMediaLive/status/1800789201027219817?t=r0Ic8O-OWCgcCRDfyfJing&s=19
NdioKwani hiyo list hapo ni wafanyakazi wa serikali tu?
Sio wengi kama unavyodhania wewe.Ngoja kwanza, yaani ma askari wote, wanajeshi, waalimu wa shule za uma, wafanyakazi wa hospitali za serikali, wote hao hawafiki millioni Moja au sijaelewa wanaongelewa watu gani?