Pre GE2025 Watumishi wa Umma dhidi ya matumizi ya mabilioni kusaka Ubunge

Pre GE2025 Watumishi wa Umma dhidi ya matumizi ya mabilioni kusaka Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mwanamichakato

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
1,188
Reaction score
1,090
Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu kuna mbilinge kubwa linaendelea ktk majimbo mengi hapa nchi. Fedha zinamwagwa Kama ulezi Kwa wananchi, wajumbe, wenyeviti n.k..

Si DSM, Songwe, Geita, Mwanza, kagera, Mara, Dodoma, Lindi, Tanga, Tabora, Chunya, Tarime, Simiyu, Kigamboni, Rungwe, Kibaha, Makete,..N.k

Safari hii watumishi wa Umma waandamizi wamekuwa wakituhumiwa Kwa namna moja ama nyingine kugawa taklima Kwa nguvu kubwa kujenga ushawishi Kwa wapiga kura.

Swali,wanatoa wapi ukwasi huu? Je taasisi wanazoziongoza Zipo salama kiasi gani? Nini athali ya Kiongozi ikiwa watakwaa madaraka ya kisiasa ? Je taifa litafika liendako kupitia viongozi walio tayari kununua madaraka/vyeo Kwa mabilioni? Wanaweza kupinga rushwa na ufisadi?
 
ngoma ndorigwa na wote wanataka ubingwa, mi yangu macho tu sina maslahi kutoka kwao.
 
Back
Top Bottom